Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.Hahahaaa.
Mimi mbona sioni tatizo lolote hapo.
Ni mambo tu ya kibiashara na utambulisho hayo.
Kutoka "Dodge RAM" kwend RAM hakuna unnecessary duplication.
Nimefanya kwenye mabenki, nimeona rebranding, sijaona rebranding yenye moronic duplication.
Citibank wame rebrand kutoka Citibank kwenda Citi. I was there. Mpaka email addresses wakabadilisha kutoka @citibank.com kwenda @citi.com.Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.
Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.
Citibank wame rebrand kutoka Citibank kwenda Citi. I was there. Mpaka email addresses wakabadilisha kutoka @citibank.com kwenda @citi.com.
Sijaona Citibank Bank!
Come on, yani bank ina rebrand kutoka Tanzania Postal Bank, halafu inaenda TPB Bank, halafu inakuambia TPB stands for nothing?TPB ya sasa, kama hizo herufi si kifupi cha kitu au jina, basi Hiyo unnecessary duplication unayoizungumzia wewe haipo.
Kwa mujibu ya maelezo yaliyotolewa, hizo herufi sasa hivi ndiyo jina la benki. Kwa hiyo, hiyo B haisimami badala ya neno ‘benki’.
Kwa hiyo sasa hivi ukisema TPB Bank, ni sawa.
Sioni tatizo hapo.
Bank inayoshindwa kuelezea jina lake tu binafsi siwezi kuweka hela zangu humo.Sawa, wao waliamua kuji rebrand hivyo.
Nothing wrong with that.
Come on, yani bank ina rebrand kutoka Tanzania Postal Bank, halafu inaenda TPB Bank, halafu inakuambia TPB stands for nothing?
Hiyo ni bank au maonesho ya mazingaombwe?
Bank inayoshindwa kuelezea jina lake tu binafsi siwezi kuweka hela zangu humo.
Ila kwa wabongo wengi tulivyozoea bora liende hili linaweza lisiwe big deal.
Watakwambia "Si ushaelewa, kwani tatizo nini?"
Ukishaanza na acronym, halafu useme jina si acronym, hayo ndiyo mazingaombwe yenyewe ninayoyasema.Ukisema hujapenda hilo jina, sawa. Nitaelewa.
Lakini ukisema kuna makosa. Nakataa. Haupo sahihi...
Hahaha kwa hiyo tunakosea kwenye vifupi?! Basi tutumie virefu ili kuondoa mchanganyo kama huu, sasa hata hiyo Bank OZK bado hawajafanya tufanyayo sisi.Nimetoa mfano wa ESPN networks hapo!
Halafu Marekani mabenki yapo mengi saaana...
Ukishaanza na acronym, halafu useme jina si acronym, hayo ndiyo mazingaombwe yenyewe ninayoyasema.
By the way, ESPN kama si acronym inaandikwa Espn, si ESPN.
I see what they are trying to do, they are trying to eat their cake and still have it too.
Hahaha kwa hiyo tunakosea kwenye vifupi?! Basi tutumie virefu ili kuondoa mchanganyo kama huu, sasa hata hiyo Bank OZK bado hawajafanya tufanyayo sisi. Hawajaiita Bank OZK bank! Sijaelewa unatetea nini wakati kosa limeonekana, TPB bank, NMB bank, CRDB bank! Na kwa kuongezea "barabara ya Morogoro Road". Kiswa-nglishi tunakosea vizungu tunakosea bora tutumir kiswahili tupu.
HahahaSawa. Hakuna anayelazimishwa kuweka hela zake benki.
Hahaha ni kifupi cha nini Biashara?!B kwenye TPB haisimami badala ya neno ‘bank’.
Reasons zako ni za kitoto sanaBenki kama hii haikawii kukutungia accounting principles mpya zitakazofanya kila shilingi yako uliyoweka kwao baada ya mwaka iwe senti hamsini.
Wanaweza kukuambia "tume i rebrand one shilling iwe fifty cents"!
WamekaririBranches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
Hahaha
Hahaha ni kifupi cha nini Biashara?!