English inazingua na kuchosha

Hakuna mwandishi hapo. Hao ni vlogger uchwara. Kila mwenye smartphone anajiona mwandishi wa habari.
Hata hao waandishi wengi lugha inawasumbua na kujifunza hawataki.

Hii ni ajabu ata Waadhiri (Lecturers) kwenye vyuo vyetu vikuu Kiingereza ni tatizo kwao
na ndio lugha ya kufundishia.
 
Kwa mliopita semarini haikua shida tatizo ni sisi ambao tulisoma zile shule za below 150 kati ya 250
 
Hata hao waandishi wengi lugha inawasumbua na kujifunza hawataki.

Hii ni ajabu ata Waadhiri (Lecturers) kwenye vyuo vyetu vikuu Kiingereza ni tatizo kwao
na ndio lugha ya kufundishia.
Huyo ''mwandishi'' wa pili aliyetaka kuokoa jahazi anavyolitamka neno ''production'' sasa. Eti ''pruuodaaction'' ili lisikike kiingireza cha ki-marekani marekani. Note: wanabeba vinasa sauti vingi ili tu waonekane wako ki-uandishi zaidi.
 
Wanakosea sana issue sio accient bali ni correct pronunciation of words.

Mtu unaweza kuongea Kiingereza fasaha kwa lafadhi yako muhimu ni kutamka
maneno kwa ufasaha.
 
Kweli kabisa. Na mbaya zaidi unajaribu kuiga accient ya watu halafu usipatie, unakuwa kama kituko.
 
Wanakosea sana issue sio accient bali ni correct pronunciation of words.

Mtu unaweza kuongea Kiingereza fasaha kwa lafadhi yako muhimu ni kutamka
maneno kwa ufasaha.
Wangemsikia Shaka Ssali aliyekuwa anatangazia VOA kipindi cha mijadala kuhusu Afrika (Straight Talk Africa) kwa kiingereza fasaha huku akiwa na lafudhi nzito ya Kiganda.

Alikuwa anaeleweka vizuri na dunia nzima ya watumiaji wa Kiingereza. Mijadala yake ilikuwa inahusisha wadau toka mataifa mbalimbali (waafrika, wazungu, wahindi, waarabu, n.k.) na ilichangamka vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…