Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao waandishi wengi lugha inawasumbua na kujifunza hawataki.Hakuna mwandishi hapo. Hao ni vlogger uchwara. Kila mwenye smartphone anajiona mwandishi wa habari.
Kwa mliopita semarini haikua shida tatizo ni sisi ambao tulisoma zile shule za below 150 kati ya 250Our father, who art in heven. Hallowed be thy name, thy kingdom come. Thy will be done on earth as it is in heven.
Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses as we forgive those who trespass against us. Llead us not into temptation, but deliver us from evil.
NIMEKUMBUKA SEMINARINI O LEVEL, ENGLISH CHURCH SERVICE KILA JUMATANO
Huyo ''mwandishi'' wa pili aliyetaka kuokoa jahazi anavyolitamka neno ''production'' sasa. Eti ''pruuodaaction'' ili lisikike kiingireza cha ki-marekani marekani. Note: wanabeba vinasa sauti vingi ili tu waonekane wako ki-uandishi zaidi.Hata hao waandishi wengi lugha inawasumbua na kujifunza hawataki.
Hii ni ajabu ata Waadhiri (Lecturers) kwenye vyuo vyetu vikuu Kiingereza ni tatizo kwao
na ndio lugha ya kufundishia.
Wanakosea sana issue sio accient bali ni correct pronunciation of words.Huyo ''mwandishi'' wa pili aliyetaka kuokoa jahazi anavyolitamka neno ''production'' sasa. Eti ''pruuodaaction'' ili lisikike kiingireza cha ki-marekani marekani. Note: wanabeba vinasa sauti vingi ili tu waonekane wako ki-uandishi zaidi.
Kweli kabisa. Na mbaya zaidi unajaribu kuiga accient ya watu halafu usipatie, unakuwa kama kituko.Wanakosea sana issue sio accient bali ni correct pronunciation of words.
Mtu unaweza kuongea Kiingereza fasaha kwa lafadhi yako muhimu ni kutamka
maneno kwa ufasaha.
Wangemsikia Shaka Ssali aliyekuwa anatangazia VOA kipindi cha mijadala kuhusu Afrika (Straight Talk Africa) kwa kiingereza fasaha huku akiwa na lafudhi nzito ya Kiganda.Wanakosea sana issue sio accient bali ni correct pronunciation of words.
Mtu unaweza kuongea Kiingereza fasaha kwa lafadhi yako muhimu ni kutamka
maneno kwa ufasaha.