uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute huyu bwana! View attachment 161601
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa na passion ya kuijua vizuri sana hii lugha ya kiingereza km hyu member wa humu anayeitwa kiranga nitumie njia gani niweze kui master vizur hii lugha????
Tatizo ni viwango vya hali ya chini sana tulivyonavyo Wabongo.
Mtu wala huhitaji kufanya jambo lolote lile la ajabu ili uweze kuitwa 'kichwa' na/au 'genius'.
Kwa mfano, humu ukiandika hususan kwa Kiingereza maneno ambayo labda hayajazoeleka kwa watu, hiyo inatosha kabisa kwa baadhi kukuona wewe kuwa ni 'genius' hata kama unatania tu na kuandika pumba.
Ukijadili nadharia ambayo labda wengi hawana ufahamu nayo hiyo inatosha kabisa wewe kupachikwa 'ukichwa'
Wakati mwingine huwa nasikitika sana lakini ndo hivyo tena, ndo watu wetu walivyo ama sijui ndo tulivyo kwa ujumla!
Hakuna cha English ngumu kwa huyo mtu wa Trinidad bali ni accent yao huko West Indies(Trinida&Tobago na Jamaica) ni mchanganyiko wa Lugha ya Patra(inasomwa pakwa) na Kiingereza. Kiingereza wanachoongea sio Kiingereza fasaha ndio maana hata hao Wazungu unaosema walikua hawamuelewi vizuri.
I am looking forward to seeing you it can mean "I expect/hope to see/meet you and I wait for it all the time"Mh what the meaning of this? im looking foward to seeing you also need help!
Thank you brother. My special thanks also are dedicated to mama wawili wherever she is, for starting this thread.
I have already learn all past comments and I have gained some useful ***. I will work on them as soon as I can.
mama wawili come on.......... i am among of them