Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,231
Thanks for sharing
The same na mtu akisema
1.I am going to church( unaenda kufanya ibada au mambo yanayohusiana na ibada au kusali)
2.I am going to the church(upo eneo la kanisa ila hufanyi ibada wala mambo yanayohusiana na ibada)
The same apply to "I am going to market" and "I am going to the market"