NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Linah ni Msanii mkubwa tu wa Tanzania..Ila hii Description aliyoweka Youtube sio Nzuri!
Hapo kwenye RED english mbovu ,na sikudhani kama kulikUwa na maana wa kuiweka South Africa .
nadhani Anaitangaza South Africa zaidi na GODFATHER
Haka kanalazimisha fani tu muziki hakajui kazi kufanya remix tu mbovu mbovu
Bora auze bangi....
Hivi mtu kama lina anapewa jukumu la kuitangaza nchi? Mbona mnampa jukumu kubwa sana? Aachwe aendelee kufanya mambo yake na kuitangaza pappuchi yake .hilo la kuitangaza nchi wala hapaswi kulauimiwa lina wenyewe na wamelala! Kuhusu kizungu mbona hata wazazi wenu hawakijui?..
Huyu anaweza kutangaza mbunye kule kimboka..mhehe na muziki wapi na wapi..akafanye u house girl kule
niache kumsifia komando jide na ngoma zake za maanawanawake bana ndo zenu hakuna hata siku moja mkasifiana
Anaimba utumbo tu hana cha maana bora tu akawe hausi gelo kwakweli...Huyu anaweza kutangaza mbunye kule kimboka..mhehe na muziki wapi na wapi..akafanye u house girl kule
Huyu anaweza kutangaza mbunye kule kimboka..mhehe na muziki wapi na wapi..akafanye u house girl kule