mhemeavisogo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 343
- 195
Linah hajafika kiwango cha kuitangaza nchi, kwenye suala la lugha mm naona hakuna tatizo kwa Mtanzania aliye zaliwa tz na kukulia tz kukosea lugha ya kiingereza hata mara elfu kwakuwa hatukuzaliwa kwenye utaratibu wa kutumia kiingereza, sote kiingereza tumekikutia shule ( Yaani ni lugha ya kujifunza tu). Si lazima sana kuongea kiingereza kizuri hapo alipo fikia kunatosha sana. Tucwe malimbukeni kwa kulazimisha kila mtu aongee kiingereza. Nasi tuna lugha yetu tuithamin na tuipende.