English mbovu ya Linah inatia Aibu

English mbovu ya Linah inatia Aibu

Linah hajafika kiwango cha kuitangaza nchi, kwenye suala la lugha mm naona hakuna tatizo kwa Mtanzania aliye zaliwa tz na kukulia tz kukosea lugha ya kiingereza hata mara elfu kwakuwa hatukuzaliwa kwenye utaratibu wa kutumia kiingereza, sote kiingereza tumekikutia shule ( Yaani ni lugha ya kujifunza tu). Si lazima sana kuongea kiingereza kizuri hapo alipo fikia kunatosha sana. Tucwe malimbukeni kwa kulazimisha kila mtu aongee kiingereza. Nasi tuna lugha yetu tuithamin na tuipende.
 
Mziki hajui analazimisha fani nasisitiza.....
Bibie only the fittest will survive.
Mwanamuziki ili ale anatakiwa kulenga wanachohitaji wapenzi wake, kama wewe unaona analazimisha its ok ni mtazamo wako binafsi lakini mwenzako ana hit, anapata shows za kutosha plus tuZo na mkwanja
Kibongo bongo unahitaji nini tena
We piga jungu mwenzako anazidi kupepea
Nitajie mwanamuziki mkubwa wa kimataifa ambaye haja daiwa kuiba idea ya wimbo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wanawake bana ndo zenu hakuna hata siku moja mkasifiana

Evelyn Salt yuko sahihi kabisa lina wala sio mkali hata kidogo,Sema tu bahati iko upande wake.Lkn kimuziki hata kwenye top twenty ya wanamuziki wakike wakali hawezi kuwepo.
 
Last edited by a moderator:

Bahati? You must be kidding unless u dont know what ur talking
Bahati ndio dude gani haswa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Bahati? You must be kidding unless u dont know what ur talking
Bahati ndio dude gani haswa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hujui usemalo unajua Kuna namna nyingi za kumkubali mtu,na sababu za kumkubali au kutomkubali zikatofautiana kwa mtu mmoja na mwingine
we najua kwa lina umedata na mapaja tu huna lolote.
Mi naangalia utendaji wa kazi nasisitiza lina hana uwezo mkubwa kimuziki in short ni wa kawaida sana na huo ndo mtazamo wangu hata ubimbilike hunibadilishi ng'o.
I'M OUT
 
Umenena vyema kuwa ni mtazamo wako
Keep it in ur mind mtazamo wako hauwezi kubadili ukweli

Kama Linda anajua wanao mkubali wanataka nini na wanamuweka juu hadi wewe ukaita "bahati" why should bother na watu ambao hamuweki juu?

Sasa kama hao wengi wanao mkubali we unawaona hawaangalii uwezo then u have a problem

Narudia tena to be good musician ni kuridhisha mashabiki wako na si haters wako......hiki ndio anafanya lina na nakuhkikishi song hili mnadai kaiba litampa tuzo, nenda club uone livyorusha watu, shows za kumwaga

We piga jungu tu

Nishasema huo mi mtazamo wng na hauwezi kubadilika,sasa usinilazimishe unavotaka wewe na Mimi nifuate never.Hayo ya majungu yanakujaje?Kaa mbali na Mimi wewe tena shika adabu yako.Na km nimekukera lamba ndimu usitapike!!!!!....
 
Bibie only the fittest will survive.
Mwanamuziki ili ale anatakiwa kulenga wanachohitaji wapenzi wake, kama wewe unaona analazimisha its ok ni mtazamo wako binafsi lakini mwenzako ana hit, anapata shows za kutosha plus tuZo na mkwanja
Kibongo bongo unahitaji nini tena
We piga jungu mwenzako anazidi kupepea
Nitajie mwanamuziki mkubwa wa kimataifa ambaye haja daiwa kuiba idea ya wimbo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jungu unalijua unalisikia? Idea sio tatizo kufanya remix sio tatizo
hata komando jide kishafanya remix mbona kama muhogo wa jang'ombe na siwema
ila huyu mwala yeye album nzima anafanya remix tu sasa huyu ni mwanamziki au ni mfanya remix?
 
Mwala nani wewe au yeye na washabiki wake wanaomkubali anachifanya?
We kalia kulia lia hapa jf mwenzio anakamu stajeni na kumeki mkwanja kwa hizo "remix"

Creativity we umefanya ngapi bana iwe kazini au kwa mmeo
Only the fittest will survive kama nabuni sitoki why bother kama niki remix natoka
Uanzungumzia ubunifu bongo ebooo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nishasema huo mi mtazamo wng na hauwezi kubadilika,sasa usinilazimishe unavotaka wewe na Mimi nifuate never.Hayo ya majungu yanakujaje?Kaa mbali na Mimi wewe tena shika adabu yako.Na km nimekukera lamba ndimu usitapike!!!!!....

Limekuingia
Tulia unyolewe ukija na mitazamo yako dhaifu unapewa za uso tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwala nani wewe au yeye na washabiki wake wanaomkubali anachifanya?
We kalia kulia lia hapa jf mwenzio anakamu stajeni na kumeki mkwanja kwa hizo "remix"

Creativity we umefanya ngapi bana iwe kazini au kwa mmeo
Only the fittest will survive kama nabuni sitoki why bother kama niki remix natoka
Uanzungumzia ubunifu bongo ebooo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hapa tunaongelea maceleb mie niweke pembeni make hata ndani ya nyumba yetu sio celebrity
ongea kuhusu lina sio evelyn salt
huwezi kakojoe ulale....
nini kuingiza hela hata omba omba mwenyewe anaingiza hela
 
Evelyn Salt yuko sahihi kabisa lina wala sio mkali hata kidogo,Sema tu bahati iko upande wake.Lkn kimuziki hata kwenye top twenty ya wanamuziki wakike wakali hawezi kuwepo.
Kweli hawa wamedata na mapaja
wamekalia kusema wanawake ndo zetu naona lady jay dee ni mwanaume
 
Hapa tunaongelea maceleb mie niweke pembeni make hata ndani ya nyumba yetu sio celebrity
ongea kuhusu lina sio evelyn salt
huwezi kakojoe ulale....
nini kuingiza hela hata omba omba mwenyewe anaingiza hela

Ndo jinyonge sasa kwa "bahati" ya mwenzako maana unacholialia hapa hakimuongezei wala kumpunguzia, yake yanamnyookea na "umwala" wake
Kalaghabaho

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom