English mbovu ya Linah inatia Aibu

Acheni ukabila kwani akiwa mhehe hapaswi kuimba? Ni wivu au nini?

Wala usisumbuke kujibizana nao. Hao ni vijana wa ufipa bange na viroba imekua sehemu yao ya maisha.
 
Haka kanalazimisha fani tu muziki hakajui kazi kufanya remix tu mbovu mbovu
Bora auze bangi....

Nilikuwa naperuzi nione km hkn mtu kasema kitu hiki, nikiseme mwenyewe! Umenisaidia!
 
Dah....Si angeandika Kiswahili tu..

Kwanini angeandika kwa Kiswahili ikiwa anaamini na ama anahitaji mashabiki hadi wale wasiozungumza kiswahili? Kwa maoni yangu, ikiwa lengo lake ni kutangaza kazi yake basi yupo sahihi kutumia English.

Tatizo letu Watanzania ushamba umetujaa... yaani mtu akiongea ama kuandika broken English inakuwa ndio issue wakati Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine yoyote duniani! Ule ushamba wetu wa kudhani mtu anayekifahamu Kiingereza yupo matawi ya juu ndio unaotusumbua! Jambo la kushangaza, hata ukiwaona hao ambao English ni native language, bado nao ni full broken! Watu tunashindwa kufahamu kwamba hata huyo Mwingireza ambae hajasoma English language nae ana uwezekano mkubwa wa kuongea ama kuandika broken! By the way, mbona tukiwaona Wazung wakipiga broken ya Kiswahii hatuwajei zaidi tu ya kuona ni funny?
NguoYaSikuKuu
 
Last edited by a moderator:

Umeongea kweli mkuu,wabongo wajinga sana,mi wakati napiga mzigo Australia,walitamani sana kujua swahili,Linah ani pm nim train.
 
Last edited by a moderator:
bado watanzania hatuna identity ya muziki wetu..! na kama ipo bado saaaana!!miaka 25643!

sio tu utambulisho wa muziki bali ni utamaduni kwa ujumla na taifa likikosa utamaduni wake na kuanza kuiga kwa wengine bi taifa la wenbdawazimu tu .
 

nguo ya kuazima haistiri .......!
ndo matokeo yake .
 
wanawake bana ndo zenu hakuna hata siku moja mkasifiana

we kwenda huko huoni humu tunavyowasifia kina jide na wengine? mbona wanaume wanapondana humu hatusemi wanaume wanachukiana? yaani hii imani sijui mnaitoaga wapi....hovyo
 
Kuna vitu hayupo sawa, hata ile nyimbo jinsi ya kutamka maneno you are........ anatamka kama anaongea kibena,kihehe au kikinga. Lakini najua vinarekebishika tu, lakini watu wa humu kwenye forums wanamnanga tena wakikebehi hata kabila lake, kama tuna wema tumuelekeze pale alipokosea. Wengi wanaosema maneno ya ovyo unaweza kukuta hawana hata cha kujivunia zaidi ya kuendekeza porojo tu
 

Saasa , unamrekebishaje na wimbo kashautoa ? na anadai katumia Milioni sabini? Si huwa kuna sijui wanasema 'listening party"? alikosa mtu wa kumwambia? tatizo Watanzania wenzangu pia ukweli unatuwia mgumu kuu handle na kuambiana lakini anayekukosoa na kukwambia ukweli huyo ni rafiki.

Mi kila siku nikisikia hiyo yuaaaayuaaaaa, yuaaamaidestiniiiiii yaani nakerekwa utadhani nalipia kusikiliza. Nasema jamani, hivi hapa alishindwa hata kuiweka tune iendane na hii lugha ya meli na ndege? au walau angeweka mtu mwingine kwani lazima uimbe wimbo woooote tangu mwanzo hadi mwisho? Mi mwenyewe ukinipa zile verse anavyoimba Ney wa Mitego zile ' heee wananiitaga honey, haaaa, jaribu kushindana nami siogopi haaaa' ( kama anahema kama analima kwenye ule wimbo wake wa Mr Ney) hata unipe milioni hamsini siwezi kukita vile.
Sasa unaimba kiingereza na maneno ya kiingereza unaimba yuaaaaayuaaaaaa ! kaaah jamani.

tusifie palipo pema lakini tukosoe ukweli ili tusonge mbele.

Video nayo ni Mafikizolo tupu, hakuna ubunifu kivile. Kwa maoni yangu 'mbuzi' kwa ile beat ilipasa kiuno kizunguruke fasta maana ni beat ya faster, sio ule uvivu. Na pia, hakuna link kati ya akupendaye hakuachi hivihivi na ile benzi, mara kiti kama cha ufalme wa kale wa Rumi na wale wachezaji wa kilugha... where are the connecting dots?
Samahani lakini kwa para ndefu ila kiukweli!! Yaaya bagosha!
 
Linah ni Msanii mkubwa tu wa Tanzania..Ila hii Description aliyoweka Youtube sio Nzuri!

Hapo kwenye RED english mbovu ,na sikudhani kama kulikUwa na maana wa kuiweka South Africa .
nadhani Anaitangaza South Africa zaidi na GODFATHER


Hebu jaribu kuweka English iliyo sahihi hapo.
 
Hivi we kilaza wanaijeria wapo juu sana kwenye movies
Sasa wanachoongea unaweza kusemaje?

Kwanini mnakua watumwa wa lugha, hivi akina sean paul na wajamaika wanaimba nini kwenye nyimbo zao

Kila mtu anaathiriwa na lugha mama kutamka kiingereza

Ni upumbavu wa kupindukia kudhani kiingereZa cha kijamaika au kihimdi au kinaijeria au kiarabu ndio sahihi ila kiingereza kilicho athiriwa na lugha yako mama ndio upuuzi.......open up guyz.

Kama humpendi lina hilo ni tatizo lako binafsi wala sitakushangaa
Lakini mwenzako kibongo bongo mambo yake yanamnyookea na anapata show za kutosha tu kwasababu ya wimbo na video ile

Watu mmekaa kuponda wanamuZiki tu je wewe mwalimu au mchumi unaweza kutuambia umekuja na ubunifu gani kuendeleza nchi hii
Nyambafu........ Wote tunaogelea at the same boti
 
Wala usisumbuke kujibizana nao. Hao ni vijana wa ufipa bange na viroba imekua sehemu yao ya maisha.

Nenda jukwaa la siasa usituletee ushambenga wa Lumumba hapa alaa!!!
 

Hata wanaotoka nchi zinazoongea kiingereza huwa kuna wakati wanachapia tatizo sisi waswahili ndio tunashadidia kiingereza utadhani lugha ya baba zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…