LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mpangaji wangu amepanga kwangu Chanika anatafuta shule nzuri ya English Medium iliyopo karibu na Chanika. Au inayo weza kufikika kwa urahisi kutoka Chanika. Inaweza kuwa Mvuti, Chamazi, Segerea, Ukonga, Gomz etc.
Ada kuanzia laki tisa hadi milioni moja na laki 2 kwa mwaka.
iwe na watoto wengi ( wasiwe wachache sana)
Anae jua afunguke.
But as for me : Msimamo wangu upo palepale Kayumba is the best .
Ada kuanzia laki tisa hadi milioni moja na laki 2 kwa mwaka.
iwe na watoto wengi ( wasiwe wachache sana)
Anae jua afunguke.
But as for me : Msimamo wangu upo palepale Kayumba is the best .