nguvu za soda tu,hata hull city walianza kwa kasi ligi ya msimu 2007-2008 waliwafunga hata arsenal 2-1 emirates na kuongoza ligi,mwishoni wakawa wapigana kutoshuka daraja,ligi ina wenyewe wenye nafasi zao 3 za juu man utd,chelsea,arsenal na labda liverpool,man city na spurs wanajikongoja nao mkubwa 1 akichechemea.Hawa Blackpool huu moto wao mhhhhhhhhh
newcastle haijawahi kushinda old trafford toka 1972,historia saa nyingi inachukua nafasi yake,na kingine labda man utd mara nyingi mwanzo haanzi kwa kasi,ila hao toons ushindi wao sanasana leo draw pale old trafford,hawawezi kuwafunga man utd,historia tayari imeshawafunga.
Walcott 1-0
Hawezi!..anabahatishaga tu kama kunguru kwenda haja kulenga kichwani mwa mtu...ehh he he. Ashindwe yeye tu leo kufunga "Hat trick"
Mh Arsenal inabebwa ..Mtu anapewa redi bila sababu, penati wakati ni nje ya box..SHAME!
Hawezi!..anabahatishaga tu kama kunguru kwenda haja kulenga kichwani mwa mtu
walcott leo kawa kunguru mnyeaji..Mod Mbu naondoa kauli..
Arsenal 3 (Walcot 12,39,Arshavin pen 32) - Blackpool 0
Birmingham 0-Blackburn Rovers 0
Everton 1(Cahill)-Wolves 0
Stokes City 1(Fuller)-Spurs 2 ( Bale 19,30)
West Brom 0 - SUnderland 0
West Ham 0-Bolton 0