English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

...mnh, we haya tu! :confused2:

heeeeh..ulipotea ghalfa,naona umeanza kutoroka mapema hivi!..AW kawawakilisha Ars mpaka mwisho!..lol,subiri mie kesho nione mambo!!
Walcott zaidi ya Gerrard,hofu usiwe nayo:smile-big:
 
To be honest, i am imressed with Liverpool especially tukiwa na one player down , na si player, but a playmaker!!! I am just sad for Reina, othwerwise we have controlled the game well, na tempo was dictated by liverpool

My verdict, hii ni booster kwa liverpool na the most probable casualty ni asses....
 
safari yetu ndefu sana ni draw kwa vile tumecheza na liverpool ingekuwa timu nyingine tungepigwa 5 leo.
pole sana mkuu, that is deeply wrong, arses kumbukeni kuna ile red card mliyosaidiwa na ref, i believe if we were in full strength sijui tungewafunga ngapi
 
...aahh, starehe ziko nyingi tu duniani,
Ngoja niendeleze hobby nyingine badala ya kushabikia Mpira.

Unaweza kuwa mcheza ngoma ama filam kama Kayumba! hahahahaha poleni sana na hongereni kwa ushindi! team yenu nyepesi sana hata Chamakh bado kwa EPL
 
Huku ni kupewa mbereko wazi wazi! what red card? a joke

mh, naskia barriiiidi

Easy buddy hamna kitu hawa!

Bange hizi nimezoea ona kwa Almunia na Rob Green kumbe hata Pep

a very sad goa from a goalkeeper, sijui ni own goal?

dah for the second time, tumekubaliana

Kolgate off..lol

Good game

HahahahahaahChelsea FC ama Blackpool

Hongereni Loserfool na Chelsick kwa ushindi.
 
hapana mkuu nitaendelea kushangilia emirates cup mpaka timu itakapouzwa.

..., mnh...heri yenu wenye mioyo ya chuma. Mimi nnimeshakata tamaa bro.
1st game ime predict msimu mzima.
Hakuna haja ya kujinyinma raha msimu mzima.
Hii ni sawa na kila mke unayemuoa unamuacha kwa matarajio labda ajaye ana nafuu,
..."triumph of hope over experience!"
 
...aahh, starehe ziko nyingi tu duniani,
Ngoja niendeleze hobby nyingine badala ya kushabikia Mpira.
njoo hapa kigamboni chadibwa tukupe hobby mpya.... tunatafakari namna ya kuanzisha sumo!!
 
pole sana mkuu, that is deeply wrong, arses kumbukeni kuna ile red card mliyosaidiwa na ref, i believe if we were in full strength sijui tungewafunga ngapi
Kipindi cha kwanza ndio mmeonekana pungufu kuliko cha pili.

timu yangu ina mtihani mkubwa sana msimu huu kwenye kumudu physical game.
 
Unaweza kuwa mcheza ngoma ama filam kama Kayumba! hahahahaha poleni sana na hongereni kwa ushindi! team yenu nyepesi sana hata Chamakh bado kwa EPL

...ha ha ha...
eehh, kucheza ngoma? anyway...mauno ndio asili yetu

....kuteleza si kuanguka.
WE WILL BE BACK!

Arsenal,...together we stand.
I stand by my beliefs...In Arsenal Wenger I believe!

Come on you Arsenal... najua tumewapa sana mdomo leo lakini we will be back!
 
..., mnh...heri yenu wenye mioyo ya chuma. Mimi nnimeshakata tamaa bro.
1st game ime predict msimu mzima.
Hakuna haja ya kujinyinma raha msimu mzima.
Hii ni sawa na kila mke unayemuoa unamuacha kwa matarajio labda ajaye ana nafuu,
..."triumph of hope over experience!"
Noma sana mkuu,board inafanya biashara mkuu na ni kweli msimu mrefu sana.

natoa frustration zangu kwa kusema ukweli kuhusu ubovu wetu inanisaidia sana jaribu hio mkuu ha ha ha.

bado wakina Song na fabregas watakuja kuokoa jahazi mkuu usikate tamaa lol.
 
njoo hapa kigamboni chadibwa tukupe hobby mpya.... tunatafakari namna ya kuanzisha sumo!!

...aaah, mitaa ya home hiyo! umenikumbusha bro.
Jumapili kama hii 'mstaafu' hujumuika kufunga upepo hapo, au ndio anaangalia mapato?
safi sana.

Good game bro.
 
Kipindi cha kwanza ndio mmeonekana pungufu kuliko cha pili.

timu yangu ina mtihani mkubwa sana msimu huu kwenye kumudu physical game.
for all these months i thought you were a good football analyst, now i am taking that back....

with a new manager, over 50% player out to the world cup, what did you expect in the first half? lord or lord AW, of all the people wewe??

sawa bana, i apologize
 
Back
Top Bottom