English Premiership: 2010-2011

Mbu najua ndugu zako kesho wanatangaza ubingwa.....na ushindi wa leo kocha wenu atasema haitaji tena kipa lol...
 
Mbu najua ndugu zako kesho wanatangaza ubingwa.....na ushindi wa leo kocha wenu atasema haitaji tena kipa lol...

...si ndio hapo.
Arsene Wenger keshapata sababu ya kutotumia pochi la usajili.
Utamsikia ooh, kila idara imekamilika,...

These are just Blackpoolians, 44th Ranked in the football league and a player short!
Tunataka team imara itayohimili 36 remaining EPL games, na Champions League.
 
Full time score

 
Duh hao Wigan utadhani hawana golikipa mechi mbili wameshafungwa goli kumi na hawajafunga ata moja. Martinez muda si mrefu atakumbwa na fagio la chuma.
 
Nasubiri sana mechi kati ya Chelsea VS Arsenal huenda Chelsea akashinda 9-3
 
Match day 2, inaendelea..

Sekunde chache zijazo Newcastle watashuka dimbani St.James Park kukipiga na Aston Villa..

Updates kama kawa..
 
Barton with a misile ..duh ni noma

1 -0 Newcastle
 
Aston Villa msimu huu unaweza kuwa shubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…