Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
- #241
Own goal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fulham wazuri babu..nasijaona leo Man U kabebwaje..refa nampa 100/100....Red Devils, hawashikiki wala hawabebeki!¬ :becky:
Fulham wazuri babu...
beki yao nzuri sana hawa jamaa.
wasumbufu tu kwa man utd wakiwa uwanja wao craven cottage toka walipopanda daraja 2001 na kipa wao alikuwa van der sal wakati huo,subiri uone nao chelsea akicheza kipondo white hart lane kwa spursbeki yao nzuri sana hawa jamaa.
Mh.Mmeona kitu cha Ballotelli? I'm jealous
Macho hayana paziaMkuu unaangalia mpira ama ?
MAN City si wamepania defense..yaani imekuwa kero.Liverfool in the first 30 mins are very sluggish! Can not even hold the ball.....