nimeipenda style ya blackburn, wanajitahidi kutumia nguvu na mipira mirefu,na wanacheza kwa malengo zaidi maana mipira yao yote wanaidumbukiza kwenye box la arsenal maana wao ni warefu hasa samba na arsenal ni wafupi
huyu koschieny bado sana, hana nguvu na pass zako zinakosa accuracy, so far ni gemu tamu sana kuwatch if you ar neutral!!