English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Wakuu mupo???...........Hongereni sana The Gunners kwa ushindi huu....Naona watani(Man Utd) mambo yao si mambo leo....Mkuu AW good to see you
 
Hongereni Arsenal kwa ushindi mzuri. Ligi inashika kasi na magoli kibao.
 
Wakuu mupo???...........Hongereni sana The Gunners kwa ushindi huu....Naona watani(Man Utd) mambo yao si mambo leo....Mkuu AW good to see you

.asante sana.hongera na wewe mkuu kwa ushindi.bado tunamatatizo pale nyuma tutaenda nao mechi hadi mechi nadhani.


good to see u too sir.najua huko busy na mambo ya uchaguzi ,nakutakia kila la lkheri huo.
 
Good results for Chelsea, now I've to cheer on Rafael Nadal at Flushing Meadows. Vamos Rafa it's your year for US Open.
 
Hongera mlioshinda jamani. Ce Man Utd naona tuna kwiki bado, hope with time tuta-catch up...
 
Hongereni kwa ushindi Arsenal!!...naona wikend imekuwa nzuri sana upande wenu!!AW, unavyochekelea🙂ha ha
 
Hakyanani halafu sijui aje mtu aseme La liga ni ligi bora zaidi kwene sayari hii? Nakamtalia hata anipe milioni 100
mechi man utd vs liverpool ndio big mechi england,baba muziki wa la liga usipime,hao england watu wa kujitangaza tu,kuanzia timu yao ya taifa,vilabu hadi wachezaji wao,hamna kitu hapo england,wanawakuza kina lampard,gerard na hata barry unaweza kudhani viwango vyao vikubwa kuliko kama iniesta,xavi,busquets na alonso,huyo fabregas muhimu huko ganaz lakini timu ya taifa bench,mwenzie alonso alipokuwa liverpool nae alikuwa anakaa bench kama utakumbuka euro 2008,ila kaja la liga anapata namba national timu,tunamtaka cesc wetu arudi catalan mana huko england wanachonga sana
 
Tinaendelea..

Updates kama kawa..ulingoni Man U vs The Kop
 
Napewa nyepesi kwamba ulikuwa honeymoon..lol..

Karibu jamvini tukate ishu

Tehe teh........hakuna cha honeymoon wala nn aisee...Kampeni zinabana mbavu huku Mtera

Nadhani game ya leo itaisha kwa sare ama mashetani waeza chapwa
 
Tehe teh........hakuna cha honeymoon wala nn aisee...Kampeni zinabana mbavu huku Mtera

Nadhani game ya leo itaisha kwa sare ama mashetani waeza chapwa

lol, Ngosha bana utabiri wewe huuwezi bana..
 
Back
Top Bottom