English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Leo London ni kilio tuu ukitoa west ham.
Zogo lote leo liko mitaa ya Upton park, Forest gate,West na east-ham, faraja pekee ni kwamba kule mitaa ya Seven sisters na edmonton yids nao watalala mapema kama ilivyo Highbury, Finsbury park na Islington, na kule Fulham road, Kensington na West-end yote leo wale chav with blue shirts na bubbery caps hawaonekani, pheew alau metropolitan police kazi imepungua kwa leo.
 
wasen.ge utawajua kwa comment zao!

Its just a game mbona unatoa macho kama umekula kungwi? Mmefungwa na New Castle, leo mmebamizwa na Man City, Jumapili unafahamu yatakayokukuta maana leo Arsenal wangeshinda wangekuwa hawana presha lakini sasa unajua kabisa kichapo kingime kinawasubiri sasa sijui kama mta-collude kufunga hili jukwaa au vipi?
 
Its just a game mbona unatoa macho kama umekula kungwi? Mmefungwa na New Castle, leo mmebamizwa na Man City, Jumapili unafahamu yatakayokukuta maana leo Arsenal wangeshinda wangekuwa hawana presha lakini sasa unajua kabisa kichapo kingume kinawasubiri sasa sijui kama mta-collude kufunga hili jukwaa au vipi?

I hate you! mother F
 
I hate you! mother F



_49247864_tevez_ap.jpg




Hawa ndio wabaya wako

Na hawa hapa chini


toon-splash_1130996a.jpg





You better

Kufungwa kubaya eh?
 
Jamani acheni masihara kufungwa kubaya, filimbi jinsi zinavyopigwa hapa huwa hapatoshi lakini leo ahhhhh shwari kabisa wengine tuna makovu ya matusi khe khe kheeeeeeeeee. Natafuta mashabiki wa New Castle na Man City maana wametuondolea hii ghasia na Jumapili Arsenal watawazika kabisa. Watagonga msumari kwenye jeneza.


Where we dare talk openly.

Premium Member mzima ushujaa umemshinda anaporomosha matusi kama vile amejiunga leo. Kila la Kheri kaka lakini Premier League sio chandimu kama ulikuwa na wazo hilo futa kabisa kwa sababu uko kwenye league nyingine. wangekuwa wanacheza Miembeni SC au Mwembechai ingekuwa kama unavyotaka lakini hapa NAY!
 
Naona mechi ya Man U kuna 'mafuriko' kwene dressing rooms..
 
Spurs wamejikomboa
Huyu van der Vaart anajitahidi kuleta quality football.
 
Back
Top Bottom