E bana e lile shuti la Alex lingempata mtu kisogoni si tungeokota maiti?
Bwe he he .. Mr.Bean kweli hana mbinu za mchezo..yaani gemu ya leo na approach waliyochukua ni ile ile wanapokumbana na Chelsea..too porous na wanajifanya wana-attack wakati mashambulizi yao yote yanakatika bila kufika golini. Huyu mzee sasa hana jipya, na msimu huu inaeza kuwa another Liverfools in making, maana huku City huku Spurs, watu wewee...Hahahahahahahah naombea ningemkuta Wenger!
Wachezaji wenyewe wamejichokea na kocha wao wa Fulham..bwe he he heOMG! Blackpool nao pia wametuchapa! Duuh!
Dhuluma hailipi, kwanza walianza na kumnyakua kocha wa cottagers then
Liverpool sasa ni ya pili kutoka mkiani..