English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Hawa Chelsea hawatashi sema wamekutana na Arsenal nao wanacheza bila sense of urgency.
 
Bwe he he he ..Mr. Bean sijui atasema nini leo
 
Beki inakatika kichizi, Essien anakosa goli la wazi.
 
E bana e lile shuti la Alex lingempata mtu kisogoni si tungeokota maiti?
 
Hahahahahahahah naombea ningemkuta Wenger!
Bwe he he .. Mr.Bean kweli hana mbinu za mchezo..yaani gemu ya leo na approach waliyochukua ni ile ile wanapokumbana na Chelsea..too porous na wanajifanya wana-attack wakati mashambulizi yao yote yanakatika bila kufika golini. Huyu mzee sasa hana jipya, na msimu huu inaeza kuwa another Liverfools in making, maana huku City huku Spurs, watu wewee...
 
why on earth are you a Chelsea fan when Blackpool go to Anfield and play like Barcelona?"
 
Half time Merseyside derby..

Liverpool kesha chakachuliwa kamoja..!


Washabiki Everton wanaimba U.S.A U.S.A...lolz
 
Dhuluma hailipi, kwanza walianza na kumnyakua kocha wa cottagers then ati wanasema Liverpool is worth 300 million only, wakakataa offer kutoka Singapura ambayo ilikuwa kubwa zaidi ..... (Hivi kuna Premier League team top 5 ambayo ni chini ya 500 miillion? -Yaani unaibiwa hivi hivi na wewe unaona) Duh! ngoja tuone mwaka huu utakuwaje ndio EPL hiyo. Anyway ya Ngoswe tumwachie ngoswe.




Wengine walianza kudai kikombe siku chache zilizopita khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Dhuluma hailipi, kwanza walianza na kumnyakua kocha wa cottagers then


Mkuu,

1. Liverpool ina wachezaji wengi wa ''kawaida saaana'', ambao wengine hadhi yao ni daraja la pili

2. Roy uwezo wake mdogo pia. Sijui hata ilikuwaje Liverpool wakampa ile kazi. Hawa wamiliki wapya lazima watamwaga tu
 
Liverpool sasa ni ya pili kutoka mkiani..

Quite an (adverse) achievement for them. Kama Gerrard naTorres wana ndoto za kushinda the Premier league na Liverpool wasahau - labda wahamie Arsenal au Chelsea.
 
Back
Top Bottom