English Premiership: 2010-2011

to be honest that was not a red card
 
Kolcieny anaweza akawa kavunjwa mguu..
 
if this is the way we gonna see red cards this year, then nadhani divers will be very valuable
 
the game is boring

Kwa sababu loserfools hawachezi vizuri au siyo?

to be honest that was not a red card

Yaani wewe uliye mbali kwenye TV unaweza kusema na kuamua siyo red? The guy never went for the ball.

khe khe hiyo ni red card yake ya kwanza kwenye maisha yake ya kabumbu.
 
if this is the way we gonna see red cards this year, then nadhani divers will be very valuable
Mkuu refa anaangalia intention yako, ikiwa joe cole anajua mpira ule hauendi kokote unatoka nje na yeye bado akafanya rash tackle hapo refa anatafsiri hakukusudia kucheza mpira ila kumgonga jamaa, angelikuwa Joe Cole ni deffender angeweza kupewa yellow.
 
Kwa sababu loserfools hawachezi vizuri au siyo?

Yaani wewe uliye mbali kwenye TV unaweza kusema na kuamua siyo red? The guy never went for the ball.

khe khe hiyo ni red card yake ya kwanza kwenye maisha yake ya kabumbu.

Huku ni kupewa mbereko wazi wazi! what red card? a joke
 
Mbona hawa-score? mana game ndo itachangamka!!tuone lakini...
 
...khaa! mnh, si bure...
msimu huu umekuja na kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi!
Haya, tupo pamoja...!
Aisee MOD, natumia vizuri internet subscription yangu, we wataka ela yangu iende bure?
 
tumezidisha pasi bila sababu ,liverpool wachumba tu sisi tunazubaa.subiri kijana wako Walcott akiingia utaona.
AW, watch your language, this season niko ki-Malaria sugu zaidi so nitachunguza mpaka ukoo wenu ukianza matusi mida hii

Gademu!!!:glasses-nerdy:
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal hawa wako 12 lakini! wanaleta marede
 
Hahahahahah hawa Arse -anal ni kama waswaga Mbuzi hahahahahahaahahah
 
tumezidisha pasi bila sababu ,liverpool wachumba tu sisi tunazubaa.subiri kijana wako Walcott akiingia utaona.

ohohooo!naona Liverpul wameingiza kitu,sasa game litachangamka!..I can't wait kumwona Walcott!! AW inabidi mkaze buzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…