English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

FT: Spurs 0:0 City, mechi haikuwa mbaya kwa kukata utepe..
 
Chelsea naona inastruggle na hii timu ya Roberto Di Matteo, Dk. 44 , 1-0 though. Chelsea inabidi itafute beki wa kulia, Ferreira kule ni upenyo.
 
Labda hawajazoeana bado aisee
Wamezoea ligi mza mtu anakaa na mpira dakika 5 nzima bila kubughudhiwa. Akina Toure na Silva watapata tabu sana. Kocha wao ameanza kufulia mapema sana. BTW, naona yule beki mpya kutoka Lazio wahuni wameshamkaribisha EPL kwa ngeu ya mguuni.
 
Ubingwa mzee. Najua ntaonekana kreze lakini mpira unadunda na msimu huu lazima kombe litue Anfield!

Kaka Daktari wako amekupa dozi gani? Nipe jina na mimi labda nianze kuitumia.
 
Hongereni ila siku mkifungwa hukimbia, hii mechi ilikuwa foregone conclusion, Di Matteo ni Chelsea damu.
Wacha nivute mvinyo mie... Nyie subirini kesho na keshokutwa ha ha ha
 
Chelsea leo mlicheza basketball,ha ha..kudoz kwa ushindi!!Proud not to be a Chelsea :A S soccer: fan lol
 
Back
Top Bottom