Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
- #21
FT: Spurs 0:0 City, mechi haikuwa mbaya kwa kukata utepe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City hawa wachezaji iliowasajili sidhani kama wataiweza EPL, mhh..
Mkuu inasemekana Spurs wapo njiani kumsaini Gallas, hapo vipi?
FT: Spurs 0:0 City, mechi haikuwa mbaya kwa kukata utepe..
Wamezoea ligi mza mtu anakaa na mpira dakika 5 nzima bila kubughudhiwa. Akina Toure na Silva watapata tabu sana. Kocha wao ameanza kufulia mapema sana. BTW, naona yule beki mpya kutoka Lazio wahuni wameshamkaribisha EPL kwa ngeu ya mguuni.Labda hawajazoeana bado aisee
Proud to be a Chelsea fun
hongereni wakuu...kesho na kesho kutwa mtakutana na MAN U....ole wenu...Proud to be a Chelsea fun
Ubingwa mzee. Najua ntaonekana kreze lakini mpira unadunda na msimu huu lazima kombe litue Anfield!
Hongereni ila siku mkifungwa hukimbia, hii mechi ilikuwa foregone conclusion, Di Matteo ni Chelsea damu.Chelsea 6 - 0 West Brom a goal by Malouda!
Wacha nivute mvinyo mie... Nyie subirini kesho na keshokutwa ha ha haHongereni ila siku mkifungwa hukimbia, hii mechi ilikuwa foregone conclusion, Di Matteo ni Chelsea damu.