BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Najua unasema Drogba! I can read back of ur mind
for some reasons Drogba hajawahi kuniingia akilini!..umetania au umekosea?ha ha
...mnh, we haya tu! :confused2:
Chukua hatua karibu Darajani! masharti na vigezo kuzingatiwa
safari yetu ndefu sana ni draw kwa vile tumecheza na liverpool ingekuwa timu nyingine tungepigwa 5 leo.
pole sana mkuu, that is deeply wrong, arses kumbukeni kuna ile red card mliyosaidiwa na ref, i believe if we were in full strength sijui tungewafunga ngapisafari yetu ndefu sana ni draw kwa vile tumecheza na liverpool ingekuwa timu nyingine tungepigwa 5 leo.
Unasema Drogba hajawahi fanya nini? Ngoja nivae miwani yangu
...aahh, starehe ziko nyingi tu duniani,
Ngoja niendeleze hobby nyingine badala ya kushabikia Mpira.
Huku ni kupewa mbereko wazi wazi! what red card? a joke
mh, naskia barriiiidi
Easy buddy hamna kitu hawa!
Bange hizi nimezoea ona kwa Almunia na Rob Green kumbe hata Pep
a very sad goa from a goalkeeper, sijui ni own goal?
dah for the second time, tumekubaliana
Kolgate off..lol
Good game
HahahahahaahChelsea FC ama Blackpool
hapana mkuu nitaendelea kushangilia emirates cup mpaka timu itakapouzwa.
njoo hapa kigamboni chadibwa tukupe hobby mpya.... tunatafakari namna ya kuanzisha sumo!!...aahh, starehe ziko nyingi tu duniani,
Ngoja niendeleze hobby nyingine badala ya kushabikia Mpira.
thanks daddy little girl....Hongereni Loserfool na Chelsick kwa ushindi.
Kipindi cha kwanza ndio mmeonekana pungufu kuliko cha pili.pole sana mkuu, that is deeply wrong, arses kumbukeni kuna ile red card mliyosaidiwa na ref, i believe if we were in full strength sijui tungewafunga ngapi
Unaweza kuwa mcheza ngoma ama filam kama Kayumba! hahahahaha poleni sana na hongereni kwa ushindi! team yenu nyepesi sana hata Chamakh bado kwa EPL
Noma sana mkuu,board inafanya biashara mkuu na ni kweli msimu mrefu sana...., mnh...heri yenu wenye mioyo ya chuma. Mimi nnimeshakata tamaa bro.
1st game ime predict msimu mzima.
Hakuna haja ya kujinyinma raha msimu mzima.
Hii ni sawa na kila mke unayemuoa unamuacha kwa matarajio labda ajaye ana nafuu,
..."triumph of hope over experience!"
njoo hapa kigamboni chadibwa tukupe hobby mpya.... tunatafakari namna ya kuanzisha sumo!!
for all these months i thought you were a good football analyst, now i am taking that back....Kipindi cha kwanza ndio mmeonekana pungufu kuliko cha pili.
timu yangu ina mtihani mkubwa sana msimu huu kwenye kumudu physical game.
thanks daddy little girl....
a very sad goa from a goalkeeper, sijui ni own goal?