Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,327
Dady im number what in the family kkkkkk
Mbavu zangu jamanii duuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dady im number what in the family kkkkkk
mm najua wabong wengi viraza.. ndio maana nikauliza.
hahahahahahaha zamani sana ni limaliza shuleMwambie mwalimu wako akufundishe
Nami namtafuta
Mmmmm bina upooo? ?
Nipo bina ujambo?
Dady im number what in the family kkkkkk
father me is how much shillings of your production?
Kwani huyo baba ni mzungu au unataka kumuonesha kwamba unajua kizungu kwa shule aliyokupeleka??
Kilewa Son ina maana hata wazungu nao viraza coz nao hata kiswahili kinawapiga chenga?
English is a just ordinary language.
mimi mwenyew ndio mzungu sasa thijui nimuulizeje baba mimi ni wa ngapi kwa kuzaliwa
Father ! I am of how much to be borne?
We uleanzisha uzi huu, ulijuaje lugha ni issue kwa vijana hasa wa tz, ongeza na hii " kukata tiketi " kwa kingereza
faring
Hebu uliza ili swali kwa kizungu kwnza nikupe jibu xx hv![/QUOTE
"if you want to ask your dad 'wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa katika familia yenu' through english language, how would you ask.!?" give me an answer..