Huyo huyoEnika aliyeimba BARIDI?
🤣 Nenga njoo huku kuna ujumbe wako dah.Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
Pia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P RoyMwaka huu Oktoba 6, Roy Bukuku anatimiza miaka 12 toka atutoke hapa duniani..... R.I.P Roy wa Sound-Crafters then G-Records.
Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
Mkuu🤣 Nenga njoo huku kuna ujumbe wako dah.
Roy ndio Producer wa kwanza kumtoa kijana wenu Mr. Blue na wimbo wake Blue Blue. Nakumbuka wakati fulani wa sakata la Hip hop haiuzi, Roy alisimama kidete kutetea, akisstiza muziki huo unauza, lakini kwa msanii anayeufanya vizuri tu na si mbabaishaji. Kuna wakati Evance Bukuku wa Vuvuzela alimchukua mdogo wake Atuganile A Bukuku aka Enika kwenye comedy, sjui waliishiaga wapi nao hawa watoto, Producer Roy(R.I.P) ndiye aliyekuwa mwanga wa career ya muziki ya Enika, pia ndiye aliyeproduce single yake ya ‘Baridi Kama Hii’if am not mistaken, lakini toka afariki 2008, Atungile hakuendelea tena kufanya muziki na badala yake aliingia kufanya comedy na Evance ila juzi kazi nilimuona kwenye Youtube Live akipiga live band kiwanja kipya Huko Sinza kinaitwa Boardroom(sjui kama ndio jina sahihi la hyo sehemu)Pia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P Roy
sawa bobMmmmh labda kwenye ukoo wao lakini kwenye familia ya kina Nandy yeye ndo kawaokoa kutoka kwenye jahazi la Umaskini... hata Nyumba Nandy ndo kawajengea wazazi wake na ni baada pia ya kuwa kwenye Mahusiano na Ruge Tafuta interview Nandy Aliyofanya na Millard bada ya msiba wa Ruge
Na ile Aliyofanya na kipindi cha clouds 360 wakati wanachangisha pesa za matibabu ya Ruge Utaelewa walikua na Maishw ya Namna gani!
Wengi wamepotea baada ya Roy kuondoka naona blue tu ndio kakaza ila akina Abbyskills,Noorah na wengineo wameshindwa survive nakumbuka ngoma ya Abby Ntakufa na wewe featuring blue mwisho kabisa blue alikuwa na kasauti flan hv anataja "G records Roiiiiiiiiii"
Mkuu
Roy ndio Producer wa kwanza kumtoa kijana wenu Mr. Blue na wimbo wake Blue Blue. Nakumbuka wakati fulani wa sakata la Hip hop haiuzi, Roy alisimama kidete kutetea, akisstiza muziki huo unauza, lakini kwa msanii anayeufanya vizuri tu na si mbabaishaji. Kuna wakati Evance Bukuku wa Vuvuzela alimchukua mdogo wake Atuganile A Bukuku aka Enika kwenye comedy, sjui waliishiaga wapi nao hawa watoto, Producer Roy(R.I.P) ndiye aliyekuwa mwanga wa career ya muziki ya Enika, pia ndiye aliyeproduce single yake ya ‘Baridi Kama Hii’if am not mistaken, lakini toka afariki 2008, Atungile hakuendelea tena kufanya muziki na badala yake aliingia kufanya comedy na Evance ila juzi kazi nilimuona kwenye Youtube Live akipiga live band kiwanja kipya Huko Sinza kinaitwa Boardroom(sjui kama ndio jina sahihi la hyo sehemu)
Roy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.Sio kwamba kina abby skills walikuwa wanamtegemea KGT Shadeed kuliko Roy? Maana midundo mingi ya zamani KGT kahusika mno kupitia G Records.
Roy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.
Hapana ieleweke kulikua na studio mbili yaani G Records na G 2.Roy alianzia G Records alafu baadae wakazinguana na mmiliki wa studio anaitwa G Lover hivyo akaenda kuanzisha studioyake mwenyewe inaitwa G 2.Wasanii wengi alihama nao pia kutoka G Records.Sasa kule G Records kukawa hakuna producer ndio akapatikana KGT Shadeed ambaye naye kama ilivyokua kwa Roy alitengeneza hits kibao zikiwemo za AliKibaRoy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.
Hahaaaa!!Dah..na ufatiliaji wangu wote wa muziki na kujiona mtoto wa mjini sikuwahi fahamu km Enika na Roy walikuwa ndugu!
Roy ndani ya G mbiliPia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P Roy
Uko sahihi kiasi KGT aliplay part kiasi chake ila Roy alikuwa zaidi ya producer kwao!Sio kwamba kina abby skills walikuwa wanamtegemea KGT Shadeed kuliko Roy? Maana midundo mingi ya zamani KGT kahusika mno kupitia G Records.
Kumbe Blue alichomoka kabla ya mfalme kiba[emoji848]Ile ngoma kaiandika blue na kumpa Abbyskills. Na kabla ya kumpa hiyo ngoma alitka ampe mapozi ila akaamua aimbe mapozi akampa hiyo. Kipindi hicho Ali Kiba ni chawa anawafuaa fuata
Kuna watu ni mabingwa wa kuandika historia za uongo za watu mitandaoniFaustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
Hilo halina ubishi Abbyskills na Blue wamejulikana kabla ya Kiba. Watu wameanza mnote Kiba aliposhiriki ngomaya Abby skillz inaitwa Maria tena napo aliomba sana baadae akaja tokea kwenye ngoma ya Queen darlin inaitwa wajuaKumbe Blue alichomoka kabla ya mfalme kiba[emoji848]