Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

Kimsingi tumpe muda,Maana Mimi uwaga ninaamini kwamba hakuna aliyezaliwa anajua.....akaze buti
 
Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
🤣 Nenga njoo huku kuna ujumbe wako dah.
 
Mwaka huu Oktoba 6, Roy Bukuku anatimiza miaka 12 toka atutoke hapa duniani..... R.I.P Roy wa Sound-Crafters then G-Records.
Pia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P Roy
 
Mmmmh labda kwenye ukoo wao lakini kwenye familia ya kina Nandy yeye ndo kawaokoa kutoka kwenye jahazi la Umaskini... hata Nyumba Nandy ndo kawajengea wazazi wake na ni baada pia ya kuwa kwenye Mahusiano na Ruge Tafuta interview Nandy Aliyofanya na Millard bada ya msiba wa Ruge
Na ile Aliyofanya na kipindi cha clouds 360 wakati wanachangisha pesa za matibabu ya Ruge Utaelewa walikua na Maishw ya Namna gani!
Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
 
🤣 Nenga njoo huku kuna ujumbe wako dah.
Mkuu
Pia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P Roy
Roy ndio Producer wa kwanza kumtoa kijana wenu Mr. Blue na wimbo wake Blue Blue. Nakumbuka wakati fulani wa sakata la Hip hop haiuzi, Roy alisimama kidete kutetea, akisstiza muziki huo unauza, lakini kwa msanii anayeufanya vizuri tu na si mbabaishaji. Kuna wakati Evance Bukuku wa Vuvuzela alimchukua mdogo wake Atuganile A Bukuku aka Enika kwenye comedy, sjui waliishiaga wapi nao hawa watoto, Producer Roy(R.I.P) ndiye aliyekuwa mwanga wa career ya muziki ya Enika, pia ndiye aliyeproduce single yake ya ‘Baridi Kama Hii’if am not mistaken, lakini toka afariki 2008, Atungile hakuendelea tena kufanya muziki na badala yake aliingia kufanya comedy na Evance ila juzi kazi nilimuona kwenye Youtube Live akipiga live band kiwanja kipya Huko Sinza kinaitwa Boardroom(sjui kama ndio jina sahihi la hyo sehemu)
 
sawa bob
 
Wengi wamepotea baada ya Roy kuondoka naona blue tu ndio kakaza ila akina Abbyskills,Noorah na wengineo wameshindwa survive nakumbuka ngoma ya Abby Ntakufa na wewe featuring blue mwisho kabisa blue alikuwa na kasauti flan hv anataja "G records Roiiiiiiiiii"

Sio kwamba kina abby skills walikuwa wanamtegemea KGT Shadeed kuliko Roy? Maana midundo mingi ya zamani KGT kahusika mno kupitia G Records.
 
Enika alikuwa vizuri sana
Mkuu

Roy ndio Producer wa kwanza kumtoa kijana wenu Mr. Blue na wimbo wake Blue Blue. Nakumbuka wakati fulani wa sakata la Hip hop haiuzi, Roy alisimama kidete kutetea, akisstiza muziki huo unauza, lakini kwa msanii anayeufanya vizuri tu na si mbabaishaji. Kuna wakati Evance Bukuku wa Vuvuzela alimchukua mdogo wake Atuganile A Bukuku aka Enika kwenye comedy, sjui waliishiaga wapi nao hawa watoto, Producer Roy(R.I.P) ndiye aliyekuwa mwanga wa career ya muziki ya Enika, pia ndiye aliyeproduce single yake ya ‘Baridi Kama Hii’if am not mistaken, lakini toka afariki 2008, Atungile hakuendelea tena kufanya muziki na badala yake aliingia kufanya comedy na Evance ila juzi kazi nilimuona kwenye Youtube Live akipiga live band kiwanja kipya Huko Sinza kinaitwa Boardroom(sjui kama ndio jina sahihi la hyo sehemu)
 
Sio kwamba kina abby skills walikuwa wanamtegemea KGT Shadeed kuliko Roy? Maana midundo mingi ya zamani KGT kahusika mno kupitia G Records.
Roy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.
 
Jamaa alikuwa ni moto sana huyu.
siamini macho yangu ya tonya niliipenda sana aliifanya huyu mwamba.
 
Roy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.
Hapana ieleweke kulikua na studio mbili yaani G Records na G 2.Roy alianzia G Records alafu baadae wakazinguana na mmiliki wa studio anaitwa G Lover hivyo akaenda kuanzisha studioyake mwenyewe inaitwa G 2.Wasanii wengi alihama nao pia kutoka G Records.Sasa kule G Records kukawa hakuna producer ndio akapatikana KGT Shadeed ambaye naye kama ilivyokua kwa Roy alitengeneza hits kibao zikiwemo za AliKiba
 
Mkuu enzi hizi si za kina Marijani Rajabu kuimba kuhusu tabia ya majirani ,kashashe za wakwe au miziki ya maadili..

Mtu anaimba nataka kulewa ,si alewe tu pombe zipo nyingi anamwambia nani.

Nani kamwaga pombe yangu wakati kalewa kamwaga mwenyewe
 
Pia anamdogo wake mwingine anaitwa Evans Bukuku ni presenter wa vipindi na pia alishawahi kuhost vipindi vya comedy kwenye TV moja hapa town. Familia yao ni special kwa kweli huyu mtoto wa Block T Mbeya city, namkumbuka kwa kazi pia niliudhulia kuagwa kwake before hajapelekwa kijijini kwao kwa mazishi. Mr. Blue alikwenda sambamba mpaka kaburini kwake. R. I. P Roy
Roy ndani ya G mbili
 
Ile ngoma kaiandika blue na kumpa Abbyskills. Na kabla ya kumpa hiyo ngoma alitka ampe mapozi ila akaamua aimbe mapozi akampa hiyo. Kipindi hicho Ali Kiba ni chawa anawafuaa fuata
Kumbe Blue alichomoka kabla ya mfalme kiba[emoji848]
 
Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
Kuna watu ni mabingwa wa kuandika historia za uongo za watu mitandaoni
 
Kumbe Blue alichomoka kabla ya mfalme kiba[emoji848]
Hilo halina ubishi Abbyskills na Blue wamejulikana kabla ya Kiba. Watu wameanza mnote Kiba aliposhiriki ngomaya Abby skillz inaitwa Maria tena napo aliomba sana baadae akaja tokea kwenye ngoma ya Queen darlin inaitwa wajua
 
Back
Top Bottom