Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

Mkuu hii album ilikuwa moto sana. Niliipenda na kuna ngoma nikiskia hadi leo naona zinanipa mzuka.
Ile album ilikuwa balaa lingine katika mziki aisee Alikiba alikuwa alikiba hatari tupu
 
Ingependeza kama ungeandika:- Barakah the prince kipaji kinacho bore/boa kutokana na ubanaji pua ulio kubuhu...
 
Ukitaka bongo utusue Imba lugha inayoendana na matusi.... Sijui Inama nkuchomeke, nipke mafuta etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom