Enock Bwigane Mtangazaji wa TBC1

Enock Bwigane Mtangazaji wa TBC1

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
IMG_6504+[800x600].JPG

Mtangazaji huyu wa TBC1 Enock Bwigane yaonyesha ni kijana mchapakazi anayeipenda kazi yake vyema na staili ya utangazaji wake wa taarifa za michezo ni kama ya watangazaji waandamizi akina Juma Mkamia. Hata hivyo, jambo moja ambalo pengine anaweza kuwa tofauti na watangazaji wengine hasa kwenye habari ni ile staili yake ya kuikazia macho "screen", kujiinamishainamisha, kujitikisa tikisa na kuzungushazungusha shingo kushoto na kulia kana kwamba hawezi kuona kwa kwa urahisi kila anachokisoma akiwa studio... kama si mikogo, .labda maandishi yanakuwa mbali na analazimika kuyafuatilia kutoka kwa kuyakazia macho...
Watangazaji.jpg

Otherwise, yupo juu Kijana!!!
 
Mimi napenda Style yake... ina swagga sana,Mbunifu na anapoweka Vibonzo ndo ananimaliza kabisaaa ...ila kuna lile li~KITIMOTO Marine...linamkatiza~katiza...oooh Mara ukimalizanikumbushe ki2...By ze way hivi Joe Kihampa yu~wapi???
 
Bwigane yupo juu ktk habari za michezo na burudani,hayo mengine ubinadamu tu hatupo kamili kwa kila kitu
 
Daah naona leo mmewaamulia watangazaji wa TBC!
Siku hizi kuna kamtindo ka mtu kujifagilia mwenyewe.....unatumia penname kujipa flag la jina lako la ukweli.......

Zamani nilikuwa namkubali Richard Quest nilipojua kuwa ni shoga nikaanza kuona mapungufu yake...
 
Ni mtangazaji anayejitahidi.Ajitahid kutumia saut yake halis maana huwa naona kama analazimisha bezi wakat yeye saut ndogo.Ushaur wangu kwa watangazaj wote watumie saut halis kama db G hata kama labda wamefundishwa kutumia misaut ya ajab ajab kuvuta hadhira.Na kama mtu saut mbov aende magazetin!
 
Siku hizi kuna kamtindo ka mtu kujifagilia mwenyewe.....unatumia penname kujipa flag la jina lako la ukweli.......

Zamani nilikuwa namkubali Richard Quest nilipojua kuwa ni shoga nikaanza kuona mapungufu yake...

Kaka Yo Yo... kwamba naye ni GA~SHO aka BOFLOO???
 
Ni kweli Enock anajitahidi sana,lakini huyu shemeji yetu anaonekana kala chumvi nyingi kuliko Enock anyway tuyaache unajua siku hizi Dada zetu wakishika fedha uhakika wa ndoa unaongezeka maradufu.

IMG_6504+[800x600].JPG
 
Siku hizi kuna kamtindo ka mtu kujifagilia mwenyewe.....unatumia penname kujipa flag la jina lako la ukweli.......

Zamani nilikuwa namkubali Richard Quest nilipojua kuwa ni shoga nikaanza kuona mapungufu yake...

Ulijuaje kama Richard Quest ni shoga? Au ndo yale yale ya Waarabu wa Pemba......
 
hv kwann tbc wafanyakaz weng ni wapare na wanyakyusa?
 
Enock Mwashubira ili la Mwigane limetoka wapi? Dogo alikua player sana azaboy kawalamba sana watoto wa jangwani
 
Ulijuaje kama Richard Quest ni shoga? Au ndo yale yale ya Waarabu wa Pemba......
On 18 April 2008, Quest was arrested at 3:40am in Central Park, New York City, and charged with loitering and criminal possession of a controlled substance: crystal methamphetamine.[SUP][2][/SUP] The police also found a rope around his neck, tied to his genitals, and a sex toy in his boot. Quest agreed to undergo 6 months of drug counseling, resulting to "adjournment in contemplation of dismissal" of the misdemeanor charges.[SUP][3][/SUP] He was released by the Manhattan Criminal Court with no bail after having been incarcerated.[SUP][4][/SUP]

Quest identifies himself as gay and is Jewish.

Richard Quest - Wikipedia, the free encyclopedia
try google....
 
Bwigane yupo juu ktk habari za michezo na burudani,hayo mengine ubinadamu tu hatupo kamili kwa kila kitu

mi alinichukiza siku anatangaza mechi Simba na Yanga. Alijionesha wazi kuwa anashabikia Simba!
 
Mimi napenda Style yake... ina swagga sana,Mbunifu na anapoweka Vibonzo ndo ananimaliza kabisaaa ...ila kuna lile li~KITIMOTO Marine...linamkatiza~katiza...oooh Mara ukimalizanikumbushe ki2...By ze way hivi Joe Kihampa yu~wapi???

JOE KIHAMPA Mbona Asikiki? Au yupo department nyingine? Au alisha-resign? Au Fagio la chuma lilimpitia?
au yupo sick leave? Au .....
 
Back
Top Bottom