ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† shetani tu ndo anachorwa mweusi, sijui alivyobadilika kuwa shetani na rangi ilibadilika, by the way hizo ni picha tu za AI
Cha kushangaza unaambiwa shetani hapo mwanzo alikuwa malaika.
Alipo hasi akatupwa mbali na MUNGU, kwa maelezo mengi shetani ni mweusi. Sasa sijui alibadilika rangi na muonekano baada ya kumkosea Mungu?!!
Vitabu vya dini vina mambo mengi sana ya kuhojiwa. Ni kama hadithi za kutunga (myth).
 
Malaika ni weupeπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Kazi ipo
HahaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—
 
Malaika ni weupeπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Kazi ipo
HahaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—
Malaika ni weupeπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Kazi ipo
Mbona hujauliza kwamba "kuna malaika wakiume na wakike?"
 
Kama ulikuwa ujui Eliya alikufa kwa kukatwa kichwa.
 
🀣🀣
 
Elia ,Enoko,jesus,Musa,Ibrahim,Noah wote ni fictional charachters kama tu spider man,tom and jerry,kibanga aliyempiga mkolini,pazi na jogoo unaweza kuongezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…