ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

Na sehemu inayounguza yenye moto mkali na muda huo huo kuna barafu kali.!! 🙄
Sasa barafu si inayeyuka sababu ya moto??!
Jamani hivi vitabu vina mauongo mengi.
Au Enoko alikuwa kwenye njozi?
Ikiwa huwezi kuumba hata vumbi,kaa utulie na usikilize
Amekuumba wewe na akili zako,
Jifikirie na utulie tuli
 
Hizi hadithi km zile tulizokuwa tunadanganywa tukiwa watoto, mama akienda kujifungia tunaambiwa kaenda kununua mtoto baharini.!!
Cha ajabu anarudi na binadamu badala ya samaki.!! 🤣🤣
Ulitaka mama yako aseme ali**** na babako ikapatikana mimba yako wakati kufuta hata kamasi wakati huo hujui,
Muwe na akili wakati mwingine
 
Ulitaka mama yako aseme ali**** na babako ikapatikana mimba yako wakati kufuta hata kamasi wakati huo hujui,
Muwe na akili wakati mwingine
Na hilo ndio jibu sahihi, haya nionyeshe Mungu yuko wapi?
 
Sasa huyo aliyekitoa kitabu cha enoko akaacha vitabu vingine, twawezaje kuthibitisha uhalali wa hivyo vitabu...
 
Giza kali kuliko la duniani, lakini Henoko aliweza kuwaona malaika weusi wakilia machozi machozi meusi. Kwa hiyo walikuwa wanatembea na tochi au macho ya malaika ndo yalikuwa yanamulika?
 
Ukitubu utasamehewa
 
😨🤔
 
Hicho kitabu cha Henoko kinapatikana wapi siku hizi
Kuna biblia za baadhi ya makanisa ya orthodox hiko kitabu kipo mfano hapo Ethiopia kanisa lao lina hiko kitabu,,,,,,,wazungu walikitoa hiko kitabu sababu kuna siri nyingi hasa za mipango yao ya ajabu zitavuja
 
Uongo mkubwa huu.

Mpaka kizazi cha Nuhu hakuna aliyeweza kusomana kuandika.

Baada ya gharika na hususan baada ya mnara wa Babeli ndipo sauti nasibu zikapata maana na upekee na kumbukumbu zikaanzia hapo.

Nani aliandika kitabu cha Enoko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…