Enviromental engineering(ardhi university)

Enviromental engineering(ardhi university)

Adam1992

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Jamani kwa yoyote anayeijua hii kozi vizuri naomba ailezee vizur na application zake ktk maisha maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo na ana utata wa kuijua vizur hiyo kozi maana inatolewa na chuo kimoja tu
 
kozi ni nzuri sana hatajutia kuisoma.
 
Ni kozi bomba sana. Manake anaweza fanya kwenye mradi wowote wa ujenzi na viwanda. Anakuwa mtu wa mazingira Environmentalist.
 
na mimi pia nimechaguliwa hiyo hiyo ila ninachokijua hii ipo ardhi tu pekee admission capacity ni 75,fee 1,100,000...duration 4 years...mtu aliyesoma hii anaweza kujikita kwenye migodi,mambo ya maji na projects mbali mbali hii kozi ni adimu mnoo wahitimu wake tunahitajika sana nchini.
 
Back
Top Bottom