johnny malcom
Member
- Sep 10, 2014
- 5
- 0
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 PCB.
Nikapata EED na form four nilipata div 2 ya 21. Sasa nilikuwa nafikiria kusoma diploma ya ENVIRONMENTAL SCIENCE pale MUHAS.
nilikuwa naomba kujua kuhusu ajira na mshahara kwa ngazi ya diploma na jee kati ya environmental health science na medical doctor,wapi panalipa vizuri...naomba msaada wa mawazo ndugu zangu.
Johnny.