Environmental Health Science Vs Medical Doctor

Environmental Health Science Vs Medical Doctor

johnny malcom

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 PCB.

Nikapata EED na form four nilipata div 2 ya 21. Sasa nilikuwa nafikiria kusoma diploma ya ENVIRONMENTAL SCIENCE pale MUHAS.

nilikuwa naomba kujua kuhusu ajira na mshahara kwa ngazi ya diploma na jee kati ya environmental health science na medical doctor,wapi panalipa vizuri...naomba msaada wa mawazo ndugu zangu.

Johnny.
 
Kweli wewe ulisoma pcb kwa mkumbo wa sifa.hadi sasa hujui usome nini? Sijakuelelwa unahitaji msaada gani hasa.
 
Soma Medical Doctor ndio deal. Ila kwa kujiajiri ambapo ndio deal zaidi ingekua ni mimi ningesomea Pharmacy au Lab Technician kwa ngazi ya Diploma na unakuwa na uhakika wa maisha kabisa kwa sababu utatafutwa badala ya kutafuta.
 
Usisome kozi fulani kwa sababu ya mshahara bali wewe unapenda kazi gani zaidi. Ukiipenda fani fulani na ukaisomea sawasawa hata kama mshahara ni mdogo uataridhka tu kwani unavyowahudumia wenzako wakaridhika na wewe ukaridhika ndivyo Mungu atakavyokukirimia maisha hapa duniani.
 
Soma Medical Doctor ndio deal. Ila kwa kujiajiri ambapo ndio deal zaidi ingekua ni mimi ningesomea Pharmacy au Lab Technician kwa ngazi ya Diploma na unakuwa na uhakika wa maisha kabisa kwa sababu utatafutwa badala ya kutafuta.

Unataka kusema kuwa ungejiajir kwa kufungua pharmacy au lab yako au unasemaje?
 
Kozi zote hizo ni za kike tena lelemama, somea uhandisi wa mafuta ule pesa wewe.
 
Back
Top Bottom