johnny malcom
Member
- Sep 10, 2014
- 5
- 0
Kweli wewe ulisoma pcb kwa mkumbo wa sifa.hadi sasa hujui usome nini? Sijakuelelwa unahitaji msaada gani hasa.
Soma Medical Doctor ndio deal. Ila kwa kujiajiri ambapo ndio deal zaidi ingekua ni mimi ningesomea Pharmacy au Lab Technician kwa ngazi ya Diploma na unakuwa na uhakika wa maisha kabisa kwa sababu utatafutwa badala ya kutafuta.