Enyi kaka zetu wenye umri wa miaka 60+ ni muda sahihi sasa wa kuandika wosia kwa familia zenu

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Mungu ni mwema.

Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI
 
Kwamba wanaokufa ni kaka zako wenye miaka 60+ tu au vipi?

Una wenge sana jomba.

By the way acha kufuatilia mali za watu wengine, kama marehemu mwenyewe hana shida mali zake wewe usiyehusika inakuwasha nini?

Si uandike usia wa
Mkuu wosia unaweza andikwa na mtu yeyote mwenye mali zake. Nimesema hiyo miaka angalau watoto wao tiyari nao wana kazi ana wanajitambua. Na wengi wao wana familia na miradi yao mikubwa huku chini miaka 50- wengi wetu bado tunajifuta na wengi hawana familia

Hakuna mahali nimeandika mali zenu zimeniwasha mkuu USINILISHE MANENO
 
Wosia ni kitu muhimu
Mungu ni mwema.......
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI
 
Mungu ni mwema.......
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI

Mungu ni mwema.......
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI
Huna cha kuridhisha unaandika wosia wa nini 😂😂😂
 
Vijana ndio mnatakiwa muandike wosia maana wake zenu bado vijana watoto wenu bado wadogo hawataweza kujitetea ila watu kuanzia 60yrs wengi hata watoto wao washaanza kujitegemea na wana weza kupambania mali mahakamani.
Ila ni muhimu kuandika wosia bila kujali umri.
Uko sahihi sana.Mimi kwa mawazo yangu nimeona vijna chini ya miaka hiyo wengi wao hawana cha kurithisha maana bado wanajitafuta hiyo age60 ni wastaafu tiyari na wana miradi yao mikubwa.Hivyo lolote likitokea issue sio watambambania mahakani hizo mali issue kubwa ni wao kwa wao watapigana vita kuwa nani achukue mahali fulani au mradi fulani uwe wa nani.

Ninacho kisema nimekishuhudia sehemu wameishia kubaya sana...
 
Mungu ni mwema.......
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI
Nimwahi kwenda makaburini nikaona makaburi ya wakubwa na watoto. Nakajifunza kifo hakichagui umri. Kumbe sikuelewa vizuri.
 
Mungu ni mwema.

Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?

Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.

Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...

Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.

Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.

Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.

UZI TIYARI
Naona wosia wako tayari umeuandika kama ID yako.
 
Back
Top Bottom