Enyi Mashabiki wa Manchester United hebu punguzeni basi ushamba kidogo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.

Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?

Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.

Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.

Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
 
Sory mkuu hivi wewe ndo ulitabiri simba kufungwa au nimekosea mkuu?

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau

Walitabiri Shangazi na Mjomba wako walipokuwa Master bedroom Kwao.
 
Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi.

Huna tofauti na hao die hard fans wa Man Utd. Damu ya ushabiki huwa haimuachi mshabiki salama
 
Mkuu tuheshimiane, heshima kitu cha bure aiseee, huwezi kutulinganisha mashabiki wa Man Utd na vitu vya kipumbavu namna hiyo.
Samahani mkuu
But machest united ana CCM
Are two sides of the same coin
 
Samahani mkuu
But machest united ana CCM
Are two sides of the same coin
tapatalk_1480078304453.jpeg
 
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.

Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?

Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.

Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.

Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
Sijajua ujumbe wako unaupeleka wapi maan hata wewe unajingamba kwa timu yako,,eti Liverpool anajua mpira kasajiri vizuri.Kwani kunatimu imesajili vibaya,,hata Watford imesajili vizuri kutokana na matakwa yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.

Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?

Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.

Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.

Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
We naye acha Ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Liverpool bado anajeuri ya kupambana na man u? Ambae ulimwacha hatua 17 nyuma akaja kukuta na kukupita ukiwa umesisimama!!! Eti imesajili kitaalamu miaka mingine mlikuwa wapi kusajiri kitaalamu!!! Shemu on u!! Sio mashabiki wote bali wewe usie jitambua
 
Back
Top Bottom