Enyi Mashabiki wa Manchester United hebu punguzeni basi ushamba kidogo!

Mimi arsenal damu hata yesu kristo akirudi atakuta nipo na arsenal yangu. Semeni yote lakini huyo anayesumbua mtaani nitamdungua na magobole yangu kama nilivyomnyoosha msimu uliopita. Bingwa wenu mwenyewe ana makovu ya kichapo changu.
Nipo nimetulia nakoki mashine zako kwa kazi hapo kesho. Viva arsenal vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa na wewe umecheza mechi ngapi hadi unaanza kelele kwanza Liverpool ni zilipendwa sitarajii kijana wa sasa kuwa shabiki wa Liverpool kwani hamna cha maana mlichofanya izo kelele tu

Heavy Weight
 
Mimi arsenal damu hata yesu kristo akirudi atakuta nipo na arsenal yangu. Semeni yote lakini huyo anayesumbua mtaani nitamdungua na magobole yangu kama nilivyomnyoosha msimu uliopita. Bingwa wenu mwenyewe ana makovu ya kichapo changu.
Nipo nimetulia nakoki mashine zako kwa kazi hapo kesho. Viva arsenal vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bingwa alikurarua pia usisahau hilo

Heavy Weight
 
Na Leo Leicester anatandikwa 3_1

Glory glory glory Manchester united

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
uliyeandika ni sawa na hao uliowaandika, umeweka ushabikishabiki hapa, kwenye epl utawadharau vipi chelsea, mancity, totnham na hata arsenal. Inaonesha wewe pia ni mshabiki wa simba, ukatarajia matokeo makuuubwa wakati kuna timu nzuri kuliko yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mkuu jiandae kuwekwa kwenye gunia na kuliwa na mamba. kwenye mto rufiji. Weka Will yako tayari . Pia anza kuwaaga ndugu, jamaa na marafiki. Liverpool ni kama timu ya tatu /nne sasa hivi Kwenye Premier League kwa ubora wa squad yao.
 
4eee4fd15794b71115ea04162a0e0b7a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.

Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?

Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.

Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.

Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
Hata wewe hunatofauti na mu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya kuna Mtu kakutuma humu utuwekee huu ' Upuuzi / Upupu ' wako wa msimamo wa Ligi ya EPL. Hebu ondoa hii ' takataka ' yako tafadhali sawa? Hakuna Timu ninazozichukia duniani kama Manchester United na Yanga SC. Hata ushindi wa Manchester United wa leo magoli yote yamepatikana kwa msaada wa Mwamuzi / Referee. Sasa subiri muone mziki wa Liverpool FC Kesho ambapo kuna uwezekano mkubwa mno Arsenal akafungwa idadi ya goli alizofungwa Ruvu Shooting leo ( Wiki / Magoli Saba ) dhidi ya ' Mnyama Mnyamani ' Simba SC pande za Taifa / Shamba la Bibi.
 
Itakuwa ulikuwa unaangalia Mieleka

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Oya kuna Mtu kakutuma humu utuwekee huu ' Upuuzi / Upupu ' wako wa msimamo wa Ligi ya EPL. Hebu ondoa hii ' takataka ' yako tafadhali sawa? Hakuna Timu ninazozichukia duniani kama Manchester United na Yanga SC. Hata ushindi wa Manchester United wa leo magoli yote yamepatikana kwa msaada wa Mwamuzi / Referee. Sasa subiri muone mziki wa Liverpool FC Kesho ambapo kuna uwezekano mkubwa mno Arsenal akafungwa idadi ya goli alizofungwa Ruvu Shooting leo ( Wiki / Magoli Saba ) dhidi ya ' Mnyama Mnyamani ' Simba SC pande za Taifa / Shamba la Bibi.

Mkuu hapo pa ruvu shooting nimecheka sana
 
[emoji1] we unastress sio bure

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua mpira kama Mashabiki wa Manchester United ila kwa huu ' Ushamba / Umbwigira ' wao wa hivi karibuni nimeanza kuwadharau sana.

Hivi mechi mbili ' Kiutaalam ' zinatosha kuwafanya Mashabiki wa Manchester United kuanza ' Kujigamba ' Kujishebedua ' hivi humu mitaani na mitandaoni? Hivi nyie wana Manchester United mbona mnakuwa wapuuzi wa Kiwango cha juu hivi?

Hata bado hujacheza na ' Mwanamume ' wa Ulaya na Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Liverpool FC ambaye kwa rekodi tu ameshakufunga mara nyingi sana japo kwa miaka ya hivi karibuni mmekuwa mkibahatisha kuwafunga tena kwa taabu mno.

Nadhani kama kuna Timu ambayo inatakiwa ' Mashabiki ' wake sasa watambe na watembee Kifua mbele huku wakijiamini 100% ni Liverpool FC. Kwani ni Liverpool FC pekee kati ya Timu zote za EPL ( English Premier League ) ndiyo imesajili Kitaalam na Kimashindano zaidi na hili halina ubishi na kwa atakayelibishia hili huyo atakuwa kaanza kushabikia mpira juzi au jana au leo.

Ningewashauri tu Mashabiki wote wa Manchester United kwamba labda haya ' Majigambo ' yenu muwafanyie Watu wasiojua mpira kama akina Chelsea, Arsenal, Manchester City na Totennham Hotspurs ila siyo kwa Timu ya Liverpool FC kwani kwa Kikosi cha ' Mauaji ' cha Liverpool FC hata Manchester United wajipange vipi kwa msimu huu points zetu Sita ( 6 ) wanazo.

Nina uhakika kabisa kuwa mwaka huu Liverpool FC inaenda kuweka rekodi ambayo tangia Mwenyezi Mungu aumbe dunia haijawahi kutokea ambapo Liverpool FC itaenda kubeba ' Vikombe ' vyote kuanzia cha EPL / Barclays, FA, Champions League na hadi kile cha World Club Champion na nasema kama Liverpool FC haitaviveba hivyo Vikombe vyote nitawaomba mnibebe mniweke katika ' mfuko ' au ' gunia ' mkanitupe ama Mto Rufiji au Ruvu nikawe ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha L'ACOSTE / Crocodile / Mamba.

Mashabiki wa Manchester United tafadhalini sana acheni ' Ushamba / Umbwigira ' na jifunzeni mpira!
Wewe ndo mshamba na mshabiki maandazi, mpaka leo unaiita "Barclays premier leag"?
 
Back
Top Bottom