Ninachoma Dollar
Senior Member
- May 29, 2014
- 117
- 134
fact!!!!!! ila nakuonea huruma mawazo yako ni stone age co xa hv... am a gentlmn ni wajb wng kuhudumia xo ucnfundshe kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama ni ya kweli hayo,labda kwa wanawake wa kizazi cha nyuma siyo hiki
Sasa kwanini tunauliza unafanya kazi gani?? Kwani mapenzi yanahusika nini na kazi yangu?
unaonekana we usichana ni wako wa miaka ya 90
hiyo kitu haina uhalisia kabisa... eti mbaba unaingia ndani unasmile mfukoni huna kitu aisee sijui nitakuonaje
I have same question, where will I get the woman who needs those treatment and money is not priority?
Theory za kutia moyo wanawake hizi...
Yaani we Heaven on Earth, umetafuta pa kuweka laike ndo ukaona hapo... Unantafuta, na nakuhakikishia utanipata.. tena leo hii
hahahaaaa mtu mzima hatishiwi nyau
nimependa huo ujumbe mwenzio
shikamoo kaka ....
Mnaogopaga hadi mende nyie, itakuwa nyau mkubwa vile..??
Marahaba bebii! Ndio wataka kuninyima nini ivo?
aisee mimi siwezi kula smile yake akasmile huko kwao
Marahaba bebii! Ndio wataka kuninyima nini ivo?
kitu kitamu wewe sikupi
au aka smile na tigo