Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa.
Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k
Dunia iliingia mikataba ya Kimataifa Kwa pamoja kuhusu haki ya kuishi ya kila mwanadamu na haki hizo lazima ziheshimiwe .
Kufanya kazi Nchi za Nje pale Mtanzania anapopata nafasi ni Fursa Moja kwake, Familia yake na Kwa Taifa, in fact Ni Fedha hizohizo anazokua analipwa huko kama Ujira huzirudisha hapa Nchini Kwa ajili ya Kujennga Nchi.
Sasa ikiwa ni hivo kwanini Tusione nafsi ya mtanzania ni ya THAMANI sana ??
Sitaki kuamini kama tunaweza kupuuzia Nafasi ya Mtanzania Kwa kusema Kifo ni Kifo.
Na Sitaki kuyaamini masuala ya Kumuachia Mungu katika jambo ambalo linahitaji juhudi za Mwanadamu tu.
Tunayo Wizara ya Mambo ya Nje , Kazi yake ni nini??.
Kwamba ni Wizara Kwa ajili ya kutafuta wawekezaji , Uhusiano wa kiinchi na kuratibu Shughuli za Rais awapo nchini humo?.
Case Study , Kuna huyu Binti ( Kati ya Wengi waliokufa na vifo visivyoeleweka) aliyekua akifanya kazi OMAN , kwamba amekutwa Kafia kwenye chemba ya Mavi !!.
Hiyo habari ninaiona mitandaoni tu , ikanitia maswali , Katika Mazishi Ndugu wanaumia, na mwisho wanasema tunamuachia Mungu..... Hapa ndipo kumenifanya niandike Uzi Huu.
Kwamba Serikali hii Haina chochote Cha kufanya kuhakikisha Ndugu wa Marehem wanapata taarifa kamili ?
Na ikiwezekana baada ya kuthibítika kama Kuna mkono wa MTU, wahusika Wakamatwe, waletwe Nchini, na hata wasipokamatwa hukohuko nchini kwao, Kesi iendeshwe ?
Yaan Kwa namna yoyote Ile hata wasipohukumiwa Vifo basi Angalau Familia hii ifutwe machozi Kwa Fidia??.
Tunauwauzia Waarabu maeneo hapa Nchini, lkn haohao waarabu hatuwezi kuwawajibisha juu ya watu wetu?…
Yaan Wageni wa Nchii hiii kwetu tunawapokea na kuwapa Wanachotaka, ila sisi kwao Tuishi kama Maumbwa ?
Kisha MTU Moja anakuja kusimama mbele ya vyombo vya habari na kujisifu, tumefungua Nchi, ona wawekezaji wa kiarabu na mablaa mablaah meeeeengi ya kipuuzi.
Haya Masuala yanatia sana Hasira , ni Masuala ya kukemewa Kwa Matendo na Vitendo.
Ni Maajabu sana vifo vya namna hii kupita tu ka upepo kwenye Mitandao ya Kijamii alafu Serikali imekaa kimya tuuu .
Kwa Serikali sikivu na yenye uwajibikaji Kwa wananchi wake, Jambo hili ni lazima walipokee kupitia mitandao Jamii Kisha kulifanyika kazi na kuja na Taarifa Rasimi.
Kwa namna Nyingi, MWILI WA MAREHEM ULIPASWA USIZIKWE, UCHUNGUZI KUFANYIKA KUJUA KISABABISHI HASA CHA KIFO CHAKE, inawezekana aliuwawa Kwa Sumu ,au kuzibwa pua na mdomo, au kipigo Kisha akadumbukizwa huko .
Serikali lazima iwe PROACTIVE na REACTIVE,, hivi kweli mitandao ya kijamii imereport Taarifa kama hiyo, Bado mlokula Pesa za watanzania mkashiba matumbo, mmekaa tu bila kuonyesha lolote, yaan hata kutangaza, Serikali kupitia Wizara ya Nje, inalishughulikia ? Serikali imeamua kukufanyia Uchunguzi mwili wa MAREHEM Kwa uwepo wa pande zote mbili za Nchi ??.
Haya Hata Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu nayo yamelala, mpaka shida itokee Kwa Mtanzania anayeishi nchini Tena liwe suala la kisiasa, ndio utasikia wanatoka, HIVI TUMEROGWA NA NA NANI??.
Hivi Leo hii MUISRAEL akutwe Kafia CHUMBAN Hotelini Moja hapa Tanzania,,, mtakaa kama mnavyokaa ??
Ok, Afe Kiongozi mwenzenu hapo Nje ya Nchi aloenda Kikazi tu, Kifo Cha namna hiyo, mtakaa miguu juu kama mlivyokaa??.
Mambo haya narudia kusema yanatia Hasira sana Kwa Wananchi.
NI UJINGA MKUBWA WATU KUOGOPA KWENDA KUFANYA KAZI KWA KUHOFIA VIFO VYA NAMNA HII, NCHI ITAJENGWAJE SASA?.
Wakenya waishio ughaibuni wanarudisha nchini kwao Billions of Dollars kujenga Nchi yao,, Watanzania waogope kufanya kazi nje Kwa vitu kama hivi na Serikali Ipo???.
Hoja yangu hapo ni kwamba, Kwann suluhusho la vifo vya aina hii kwa Watanzania iwe ni Kuogopa kwenda kufanya kazi ? .
WACHINA wamejazana Dar, mbona hatuwatendi hivo? Na Tena Kuna wakati WACHINA haohao wanawaua watanzania .
Nihitimishe Kwa uchungu sana, Katika Uchungu MTU huandika kupita kiasi, niwaombee sana Serikali ,Embu Kuweni Serious na Nafasi ya Kila Mtanzania , Walindeni watanzania nje ya Nchi , HAIINGII AKILINI WAARABU WAPEWE MAENEO KWA JINA LA WAWEKEZAJI, WAKATI HUOHUO SISI KWAO TUISHI KAMA WATUMWA.