Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poverty , UnemploymentHuko OMAN washaambiwa sana
Kuhusu kwenda huko ila hawasiki,hawakomi
Ova
ANaitwa nani na kafaje kuna binti yupo uko ila nashangaa nimeblokiwa bila sababu na mi ndo muwasiliani nae sanaMwingine kafariki Oman
Ulitaka ccm wamuwekee ulinzi?Sasa hata Dada Maria ametekwa huko Kenya hii serikali ya CCM iko kimya hivi huko kwa Mwarabu wataongea kweli?!