Sisi mashabiki mentality yetu ni. tunasubiri kutangazwa kwa kocha mpya na siyo vinginevyo.
Hata mkileta porojo nyingi ni kwamba kiuhalisia hatuna imani na makocha waliopo kwasababu hata kocha matola tumeshawahi kumpa tuhuma za kuhujumu timu sasa mnapowalaghai mashabiki sisi sio ndondocha mtajuta.