Enyi viongozi wa simba tangazeni kocha mpya haraka

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Sisi mashabiki mentality yetu ni. tunasubiri kutangazwa kwa kocha mpya na siyo vinginevyo.

Hata mkileta porojo nyingi ni kwamba kiuhalisia hatuna imani na makocha waliopo kwasababu hata kocha matola tumeshawahi kumpa tuhuma za kuhujumu timu sasa mnapowalaghai mashabiki sisi sio ndondocha mtajuta.
 
Watajuta mtawafanya nini?

Wameshawafanya mandondocha mara ngapi ni nini mliwafanya?

Mikwara mingine bana
 
Sisi mashabiki mentality yetu ni. tunasubiri kutangazwa kwa kocha mpya na siyo vinginevyo.

Hata mkileta porojo nyingi ni kwamba kiuhalisia hatuna imani na makocha waliopo kwasababu hata kocha matola tumeshawahi kumpa tuhuma za kuhujumu timu sasa mnapowalaghai mashabiki sisi sio ndondocha mtajuta.
Wakashabikie wenyewe tu. Kama hawawezi kuleta kocha wampandishe tu mgunda pale Juu basi.
 
Back
Top Bottom