Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

Wapewe hata motisha kama sio wao basi pesa zipelekwe kwa wazazi wao
 
Zawadi walipewa watoto?
Au zawadi imeenda kwa taifa mshindi?
Huu hapa wa Rooney kabla hajafikisha miaka 17
That left Rooney earning a basic £90-a-week as he played under a scholarship contract, though his regular outings for the first-team boosted that to nearer £1,500.
 
Huu hapa wa Rooney kabla hajafikisha miaka 17
That left Rooney earning a basic £90-a-week as he played under a scholarship contract, though his regular outings for the first-team boosted that to nearer £1,500.
Alikuwa akilipwa wapi hapo?
National team?
Unajua mnapenda kujidhalilisha?
 
Kwahiyo walipwe wazazi? Tsh ngapi kila mmoja unapendekeza.
Vipi Gharama za kuwatunza wakiwa kule walitoa wazazi?
Vipi gharama za watoto mwakani watatoa wazazi?
Hivi nyie watu huwa mnawaza Namna gani?
na gharama za kuwatunza hao watoto mpaka wanafika 15 walitoa tff au serikali, hv we mtu unawaza namna gani?
 
Jezi si mali ya tff ni mali ya mchezaji akishakabidhiwa, ndo maana ana uhuru wa kubadilishana na mchezaji pinzani baada ya mechi kuwalizika au hata kumpa shabiki. hayo mambo ya kufua jezi yalishapitwa na wakati, na kama kuna kiongozi anang'ang'ania jez huyo hatufai,

Watoto walitakiwa waachiwe jez kama kumbukumbu na kulipwa walipwe, mambo ya wanatumikia taifa kwa hyo wasilipwa huo ni uduanzi, taifa/tff halikuhusika katika kuwakuza mpaka wakawaona wanafaa na kuanza kuwatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…