ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chiniMtoto wa miaka 15?
Analipwa? Ni nchi gani inawalipa watoto wa miaka 15.
Mpira wa team ya Taifa haijawahi kuwa ni kuhusu Fedha, ni Pride ya Kuwa Mtanzania.
Pandikiza mawazo ya malipo kwa watoto wa miaka 15.
Miaka 10 mbele utaona unakuwa na team ya taifa ya namna gani.