Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

Mtoto wa miaka 15?
Analipwa? Ni nchi gani inawalipa watoto wa miaka 15.
Mpira wa team ya Taifa haijawahi kuwa ni kuhusu Fedha, ni Pride ya Kuwa Mtanzania.
Pandikiza mawazo ya malipo kwa watoto wa miaka 15.
Miaka 10 mbele utaona unakuwa na team ya taifa ya namna gani.
Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chini
 
Huyu

Huyu atakuwa miongoni mwa waliofanya huo upuuzi. Mpaka waka wanyang'anya sasa hapa hamasa itatoka wapi?
 
Jezi inarudishwa kama mashindano yana endelea yakifika mwisho jezi inarudishwa kufanya nini? Kila shindano lina bajeti yake na kits zake hao watoto wanahitaji hivyo vifaa kuendeleza careers zao tena ingependeza baada ya mashindano wapewe zaidi kumbuka wengi wao wanatoka familia duni
Hoja inapaswa kuwa TFF wajitahidi kuwazingatia hawa watoto, kwenye masuala ya Vifaaa.
Walau wawe na Vifaa vitakavyowawezesha kuendeleza vipaji vyao.
kama wamewapora, viatu na vifaa vingine vya mazoezi hapo wamekosea.
Maana nafahamu huwa wanepewa pair kadhaa kwa ajili ya mazoezi.

Ila sio eti wamepokonywa jezi? Hii hoja imekaa hovyo.
 
Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chini
Kwahiyo tunapaswa kumlipa mzazi?
Hela ambayo waliofund wameelekezwa Ziende sehemu fulani?
 
U
Hoja inapaswa kuwa TFF wajitahidi kuwazingatia hawa watoto, kwenye masuala ya Vifaaa.
Walau wawe na Vifaa vitakavyowawezesha kuendeleza vipaji vyao.
kama wamewapora, viatu na vifaa vingine vya mazoezi hapo wamekosea.
Maana nafahamu huwa wanepewa pair kadhaa kwa ajili ya mazoezi.

Ila sio eti wamepokonywa jezi? Hii hoja imekaa hovyo.
Unataka kusema kwenye hiyo fedha viongozi waliokuwa wameambatana na hao watoto hawajalipana ila inaelekezwa kwenye facilities yote ama wao wanalipana inayotoka wapi?
 
Kwamba wanakula zawadi?
Wasingeshinda wasingelipwa?
Kama wanalipana zawadi hilo ni tatizo lingine, ila nadhani kabla hawajaenda walishakuwa na Budget.
 
Hili ni swali lingine ambalo linahitaji mada yake.
Worth a research kabisa....
Ukitafiti utajua binafsi sijui.

Kuhusu Jezi, hazinunuliwi ili tugawe......
Zinanunuliwa ili zitumike kwenye mashindano.
Wasingeliwachukua hao vijana na kuwapeleka huko ili wakatafute fedha japo ya kununlia jezi wajisikie fahari kuvaa jezi siyo kufedheheka kwa kuonekana wanalilia jezi.
Kwamba wanakula zawadi?
Wasingeshinda wasingelipwa?
Kama wanalipana zawadi hilo ni tatizo lingine, ila nadhani kabla hawajaenda walishakuwa na Budget.
kwa hiyo budget kwa ajili ya viongozi ilikuwepo,isipokuwa kwa ajili ya kuwapa japo hamasa hao watoto haikuwepo?
 
Back
Top Bottom