Enyi waganga wa kienyeji...

Enyi waganga wa kienyeji...

Acha kunywa pombe,usiwe na mahusiano yoyote na mwanamke,ishi nyumba ya bei nafuu,vaa mitumba,fanya kazi kwa bidii na usichague kazi hiyo ndio dawa ya kuwa tajiri
 
Achen hizo nyie mnaosema sijui kuna nini na nini....kama yupo mganga nipeni mawasiliano nae nkachukue pesa mie
 
Ikitokea hajadonoa hata moja. What happens mkuu....
Tunduma huku naona vijana wanapewa kuku na mganga,wewe unakuja na punje za mahindi kutupia idadi ya punje atazo kula ndio miaka yako ya kutusua mapene baada ya hapo Roho yako inaacha mwili,sasa itokee kala punje moja ni noma Sana.
 
Mkuu huko nikubaya sana unako elekea bora ubaki na maisha yako hayohayo ulo kuwa nayo
 
Bora kuwa na maisha yakawaida lkn una amani kushinda kuwa na maisha yakitajili ila huna amani ndani nafsi yako
 
Tunduma huku naona vijana wanapewa kuku na mganga,wewe unakuja na punje za mahindi kutupia idadi ya punje atazo kula ndio miaka yako ya kutusua mapene baada ya hapo Roho yako inaacha mwili,sasa itokee kala punje moja ni noma Sana.

Unampa kwanza vitamin b complex ili ale maindi mengi
 
Tunduma huku naona vijana wanapewa kuku na mganga,wewe unakuja na punje za mahindi kutupia idadi ya punje atazo kula ndio miaka yako ya kutusua mapene baada ya hapo Roho yako inaacha mwili,sasa itokee kala punje moja ni noma Sana.
au asile hata moja!!!
 
Daima huwezi kutoa usichokuwa nacho, hao waganga waliowengi ni maskini kuliko hata wewe, tafuta mtu yeyote aliefanikiwa akupe mbinu za kibiashara, anza taratbu na utafika
 
Mkuu kama upo serious njoo PM nikuunge kwenye group la wachawi.... Huko utapata waganga wengi sana na wabobezi na hawana masharti yoyote sema utakuwa huonekan hapa dunian mchana wew ni usiku tuu
 
Back
Top Bottom