Enyi wajuzi wa Sheria mtupe elimu katika hili

Enyi wajuzi wa Sheria mtupe elimu katika hili

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje.

Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye hasira kali wakampa kipigo tukajitahidi kuwazuia tukafanikiwa mwenyewe.

Mwenyewe alipewa taarifa akarudi kufika akataka kumsurubu tukamzuia, mjumbe akawa amefika akapelekwa polisi sasa polisi wanasema muibiwa amtibie kwanza ndo kesi iendelee

Je, ni sahihi?

Nitafurahia majibu toka kwenu
 
Hata sina mengi ya kusema ila Polisi wa nchi hii wana vituko. Huo utaratibu wa wahanga kuwatibu watuhumiwa wameutoa katika sheria ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyo mwiz ni polisi au mtoto wa polisi?
 
Nenda kampe mkuu wa kituo haya maelezo, endapo na yeye atasisitiza mumtibu mtuhumuwa njoo tena hapa tukushauri hatua inayofuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una bahati

wenzio wanaambiwa watoe gharama za matibabu na kuhudumia familia hadi apone, ndio kesi iendelee na akifa unapewa murder

na ukiona hivyo lao ni moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom