Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,337
- 5,668
Mwezi uliopita nilienda duka la madawa kuingia mle nikakuta kuna mdada fulani simple sn mcheshi, nikamuelewa sana nikaomba namba nikapewa.
Tumechat sn siku hiyo kumbe pia ni mwenyeji wa mkoa ninaotokea, bwana zilipita kama siku 2 akanitumia ujumbe oooh mi ni mwana kwaya kanisani jpil tunazndua kwaya hivyo naomba mchango wako, siku iyo ilikuwa jmos nikamwambia poa tuonane nikupe nikampa 20,000 nikasepa zangu.
Zikapita kama siku 3 kibomu kingine ooooh mdogo wangu anahitimu kidato cha 6 sku fulan ni graduation yake naomba mchango sa alipojichanganya ni kusema siku siku ambazo madogo wa six walishapga pepa na wamemaliza wote walisharud home kitambo sn, hapo nilichomoa kbs nikamwambia saivi sina hela maana nimeagza mzgo wa biashara may be wakati mwngne, hakuchoka akajibu hata hivyo bado kama sku 2 mbele kwa iyo nichekie tu unichangie hilo skujibu kabisa.🤣
Kwenye kuchat chat nikampeleleza kumbe ni mke wa mtu anadai mumewe anafanya kaz hospital mmmmh ile hali ya kumtaka ikanitoka ila nikaamua kufanya utafiti tu kujua kama kweli anamheshimu mumewe.
Zilipita siku nyingi sn siwasiliani naye sasa juz huyoooo salamu asubuhi nikamjibu akawa analalamika ooooh upo kimya sn ww nikamwambia ni kweli lakin pia ww ni mke wa mtu sa siwez kuwa natuma tuma sms kwa mke wa mtu wakati sjui upo na nani....
🤭🤭🙌 Akajibu oooooh mume wangu saivi hayupo tena siku nyingi sn kaenda semina mpk mwezi wa 7 mmmmmh, nikamjibu poa kwaiyo vp mi nataka nikakutoe upwilu sasa akajibu we mwenyewe hata hunijari na navyompenda mume wangu sidhan kama naweza msaliti ingawa kweli nimemiss sex ila siwez nikamjibu poa.
Mchana huyu hapa tena ooooh kwani nikija tunaenda wapi nikampa location mkumbuke mi skuwa na mpango huo. Akajibu ooooh mi takuwa kazn tufanye kesho, lakini hapo kashasahau kwamba alishanambia hafanyi kaz na pale dukani ni kwa rafiki yake tu kamshikia anaumwa.
Nikamwambia poa eeeh si kaanza kufunguka kwamba kama kweli namtaka nimfanyie makubwa zaid kuliko ya mumewe labda hapo anaweza nivulia nguo mmmmh mara kibomu eti kwanza ninunulie smartphone na akasisitza nifanye juu chini nimnunulie, lakini pia nifanye na mengne makubwa kuliko ya mumewe.
Nikamjibu we si umeolewa ww mi nawezaje kukufanyia makubwa mke wa mtu, nikamtega kwaiyo mi nikfanya makubwa uko tyr kuachika ukawa huru akajbu ndiyo si takuwa nimeona angalau kuna matumaini huko kwako sa nakaa hapa natafuta nn 😪🤔🤔🤔🤔
Nikamjibu hapana sina hela ya kukununulia smart kwasasa hata kama ningekuwa nayo siwez mnunulia mke wa mtu simu aisee. Ukizngatia hata ww hakuna ambacho umeshanipa zaidi ya kunidai vitu, akajibu ooooh kwaiyo mi nakudai vitu nikamjibu ndiyo unadai vitu, akasusa.
Jana asubuhi huyoooo salamu nikamjibu muda umeenda sn ye alituma asubuhi, mara ooh unachelewa jibu sn uko busy nikamjibu kawaida tu. Akauliza uko wp nikamwambia nipo town, mara sms naomba uniazime elfu 10 takurudshia alhamis 🤣🤣🤣🤣 skumjibu kwa wakati nilimjibu baadaye sn kwamba hela sina kwasasa ipo kwenye biashara karibia yote.
Usku kwenye saa tatu huyo ooooh nilifanikiwa kupata ile hela nikamjibu poa hongera then kimya.
NB: Kweli ni mke wa mtu maana nimegundua ana watoto wawili wakubwa tu.
ENYI WAKE ZA WATU WAUME ZENU HAWAWAHUDUMII MKATOSHEKA HUKO MAJUMBANI KWENU NA KWANINJ MNA TAMAA AMBAZO ZIKO NJE YA UWEZO WA WAUME ZENU 🤔