Enyi wakiristo Ibada ya kweli ni kusujudu mbele za mwenyezi Mungu kwa njia ya kuinamisha uso chini ya ardhi na siyo kupiga magoti

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau hamjamboni nyote

Lengo ni kupeana elimu na kukumbushana wajibu wetu kwa mujibu wa Vitabu vitakatifu

Nimeweka hapa chini ushahidi kuwa manabii na Mitume walimuabudu Mungu wao kwa njia ya kusujudu na siyo kupiga magoti

Waislamu Kufanya Harakati Fulani Katika Maombi. Harakati Za Maombi Mbalimbali Katika Biblia

Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)

Kutoka kwa Musa: “Kisha Musa akainama mbio kuelekea chini na kusali” (Kutoka 34:8 Biblia)

Kutoka kwa Musa na Haruni: “Musa na Haruni wakaenda kutoka katika Kanisa mbele ya mlango wa hema na wakapiga nyuso zao chini” (Biblia, kitabu cha Hesabu 20:06)

Kutoka kwa Ibrahimu: “Kisha Ibrahimu akaanguka chini kwenye uso wake ...” (Biblia, Mwanzo 17:03)

Kutoka kwa Yoshua: “Kisha Yoshua akaanguka chini kwenye ardhi juu ya uso wake na akainama ...” (Yoshua 5:14 Biblia)

Kutoka kwa Ezra na watu wake: “Na wakapiga magoti wakamwabudu Bwana kwa uso kwenye ardhi “ (Nehemia 8:06 Biblia)

“Popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi” (Biblia 1 Timotheo 2:08)

“Eliya akainama chini ya ardhi na akainamisha uso wake kati ya magoti yake” (Ya kwanza Wafalme 18:42 Biblia)

“Na Bwana akasema na Musa, akamwambia:” Nenda mbali na mkutano huu, nami baada ya muda nitawaangamiza “. Kisha wakapiga magoti juu ya nyuso zao. “(Biblia ya nne Musa 16:44-45)

Muirejee dini ya Mwenyezi Mungu
 
Ukitaka vichekesho kama hivi

Andika

Pdidyusa KWENDA no 15777

Vigezo na ma shartinkyzingatiwa
 
Nyie mna Mungu wenu na wao wana Mungu wao , hata ahadi za mito ya pombe na wanawake ni tofauti na ya kwao kwamba hakuna kuoa wala kuolewa ni harusi moja tu ya mwanakondoo .
 
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau hamjamboni nyote

Lengo ni kupeana elimu na kukumbushana wajibu wetu kwa mujibu wa Vitabu vitakatifu

Nimeweka hapa chini ushahidi kuwa manabii na Mitume walimuabudu Mungu wao kwa njia ya kusujudu na siyo kupiga magoti

Waislamu Kufanya Harakati Fulani Katika Maombi. Harakati Za Maombi Mbalimbali Katika Biblia

Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)

Kutoka kwa Musa: “Kisha Musa akainama mbio kuelekea chini na kusali” (Kutoka 34:8 Biblia)

Kutoka kwa Musa na Haruni: “Musa na Haruni wakaenda kutoka katika Kanisa mbele ya mlango wa hema na wakapiga nyuso zao chini” (Biblia, kitabu cha Hesabu 20:06)

Kutoka kwa Ibrahimu: “Kisha Ibrahimu akaanguka chini kwenye uso wake ...” (Biblia, Mwanzo 17:03)

Kutoka kwa Yoshua: “Kisha Yoshua akaanguka chini kwenye ardhi juu ya uso wake na akainama ...” (Yoshua 5:14 Biblia)

Kutoka kwa Ezra na watu wake: “Na wakapiga magoti wakamwabudu Bwana kwa uso kwenye ardhi “ (Nehemia 8:06 Biblia)

“Popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi” (Biblia 1 Timotheo 2:08)

“Eliya akainama chini ya ardhi na akainamisha uso wake kati ya magoti yake” (Ya kwanza Wafalme 18:42 Biblia)

“Na Bwana akasema na Musa, akamwambia:” Nenda mbali na mkutano huu, nami baada ya muda nitawaangamiza “. Kisha wakapiga magoti juu ya nyuso zao. “(Biblia ya nne Musa 16:44-45)

Muirejee dini ya Mwenyezi Mungu
Kwanini unatusemea Wakristo walati wewe sio Mkristo? Acheni kuingilia imani za wenzenu wakati za kweny zimewashinda. Ukristo ahusiani ma ibada za kimwili. Sisi tunamwabudu Mungu ambaye ni Roho na tunamwabudu katika roho na kweli. Ninyi endeleeni na ibada ya kimwili maana hamumjui Mungu mnadhania ni wa kimwili kama ninyi.
 
  • Thanks
Reactions: DPN
ITIKADI KALI WA JF NA UPUMBAVU NI PETE NA KIDOLE
a604985fcefb5c59665eba3517bfca06.jpg
 
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau hamjamboni nyote

Lengo ni kupeana elimu na kukumbushana wajibu wetu kwa mujibu wa Vitabu vitakatifu

Nimeweka hapa chini ushahidi kuwa manabii na Mitume walimuabudu Mungu wao kwa njia ya kusujudu na siyo kupiga magoti

Waislamu Kufanya Harakati Fulani Katika Maombi. Harakati Za Maombi Mbalimbali Katika Biblia

Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)

Kutoka kwa Musa: “Kisha Musa akainama mbio kuelekea chini na kusali” (Kutoka 34:8 Biblia)

Kutoka kwa Musa na Haruni: “Musa na Haruni wakaenda kutoka katika Kanisa mbele ya mlango wa hema na wakapiga nyuso zao chini” (Biblia, kitabu cha Hesabu 20:06)

Kutoka kwa Ibrahimu: “Kisha Ibrahimu akaanguka chini kwenye uso wake ...” (Biblia, Mwanzo 17:03)

Kutoka kwa Yoshua: “Kisha Yoshua akaanguka chini kwenye ardhi juu ya uso wake na akainama ...” (Yoshua 5:14 Biblia)

Kutoka kwa Ezra na watu wake: “Na wakapiga magoti wakamwabudu Bwana kwa uso kwenye ardhi “ (Nehemia 8:06 Biblia)

“Popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi” (Biblia 1 Timotheo 2:08)

“Eliya akainama chini ya ardhi na akainamisha uso wake kati ya magoti yake” (Ya kwanza Wafalme 18:42 Biblia)

“Na Bwana akasema na Musa, akamwambia:” Nenda mbali na mkutano huu, nami baada ya muda nitawaangamiza “. Kisha wakapiga magoti juu ya nyuso zao. “(Biblia ya nne Musa 16:44-45)

Muirejee dini ya Mwenyezi Mungu
Ibada yakweli kwetu sisi tunaomwabudu MUNGU WA KWELI (Tofauti na ninyi mnaoabudu mungu wa uongo mungu wa kiarabu baali). ibada inafanyika rohoni sio mwilini.

YOHANA 4:23-24; Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

ukiabudu Mungu katika roho, hautakuwa hata na nafasi kusumbua wenzio hasa walioko nyuma yako unapoinamainama wakati umekula mayai, kiporo cha ubwabwa na ndizi za kuiva. Mungu ni Roho, na ukitaka kumfikia usiende kimwili bali nenda huko huko rohoni, mfuate rohoni ndiko aliko sio mwilini, labda kama mungu wenu ninyi yupo mwilini. kwa njia ya mwili hakuna mtu atamwona wala kumpendeza Mungu.
 
“Popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi” (Biblia 1 Timotheo 2:08)liya akainama chini ya ardhi na akainamisha uso wake kati ya magoti yake” (Ya kwanza Wafalme 18:42 Biblia)

“Na Bwana akasema na Musa, akamwambia:” Nenda mbali na mkutano huu, nami baada ya muda nitawaangamiza “. Kisha wakapiga magoti juu ya nyuso zao. “(Biblia ya nne Musa 16:44-45)

Muirejee dini ya Mwenyezi Mungu
Mungu ni Roho, nao waabuduo halisi inawapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Ibada yakweli kwetu sisi tunaomwabudu MUNGU WA KWELI (Tofauti na ninyi mnaoabudu mungu wa uongo mungu wa kiarabu baali). ibada inafanyika rohoni sio mwilini.

YOHANA 4:23-24; Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

ukiabudu Mungu katika roho, hautakuwa hata na nafasi kusumbua wenzio hasa walioko nyuma yako unapoinamainama wakati umekula mayai, kiporo cha ubwabwa na ndizi za kuiva. Mungu ni Roho, na ukitaka kumfikia usiende kimwili bali nenda huko huko rohoni, mfuate rohoni ndiko aliko sio mwilini, labda kama mungu wenu ninyi yupo mwilini. kwa njia ya mwili hakuna mtu atamwona wala kumpendeza Mungu.
Umesoma ila hujaelewa maandiko
 
Ibada ya kweli ni upendo. Mpenda Bwana Mungu wako, wapende majirani zako, usiwatendee usiyopenda kutendewa.
 
Ngoja wafia ugalatia waje kukutukana ..
 
Mungu ni Roho nao wamwabuduo inawapasa kumuabudu katika Roho na kweli

Back
Top Bottom