Enyi Wanamichezo kwa 'Kauli' hii ya Mukoko Tonombe aliyoisema kwa Ndugu yake Mmoja leo amemaanisha nini ?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"
 
Hivi wale wakina Fabrice Ngoma,Makusu nk utafananisha na hao wakina Bocco na Mkude? Kweli Mahaba niue
 
Huwa unawaita wenzio popoma. Kumbe wewe ndio popoma uliyekubuhu. Unaleta maneno ya kanga badala ya kuleta video tumuone na tusikie Mukoko akiongea hayo maneno
 
Anaipenda simba na anataka kuchezea simba na sio kwenye kikundi cha wahuni cha deportivo de mafuriko.
Sasa hapo atletico de mnyero kuna kipi cha ajabu!nyie jiandaeni na maumivu ya chama akiwa kwenye uzi wa yellow and green
 
Ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu.
 
Sawa Nabii Tito
 
hakuna mchezaji Afrika mashariki asietamani kucheza simba
Na Simba SC ndiyo njia panda ya kwenda ama kwa Malkia Elizabeth ( Ulaya ) au kwa 'Diplomat' aliyetukuka 'Rais' Mteule ( Marekani ) au hata Asia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ